Pre GE2025 Huenda mmoja kati ya hawa akamrithi Rais Samia Suluhu 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama kweli unataka kufagia wizi na Ufisadi kwa kiwango kikubwa namba 12 hakwepeki.
 
Naona unawakampenia kijanja baadhi ya watu.

Majina ya Polepole na Mpina umeyatumbukiza ili kuhadaa watu lakini sii kusudio lako.

Kukusaidia na unafiki wako hao wote uliowataja isipokuwa hawa wawili hawafai hata kuwepo katika nafasi wanazizishikila kwa sasa .
 
USHINDWE UKISHASINDWA ULEGEE UKISHALEGEA UKOME UKISHAKOMA UFUNGE DOMO LAKO.

Magarasa yako hayo labda yakaongoze ukoo wenu
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Yani hapo angekua KASSIM MAJALIWA angalau ningesapoti list.
Ila hao waliobaki ushuzi + kinyesi.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Yani hapo angekua KASSIM MAJALIWA angalau ningesapoti list.
Ila hao waliobaki ushuzi + kinyesi.
Sasa PM Leo ana 60'S mpaka 2030 àtakuwa karibu na 70's apewe miaka 10 tena yaani amalize na 80s nadhani kazi aliyoifanya ni kubwa sana
 
Namba 5 na namba 7 Mungu atuepushe na hizo balaa. Manaa kwa nafasi walizo nazo kwa sasa hawazitendei haki, je wakipewa uraisi?
 
Hakuna hata mmoja hapo,na nikuambie tu 50% ya hao ikifika mwaka 2030 hawatakuwepo watakuwa wametangulizana kuzimu.
Halafu kwanini uongelee kumrithi mama yenu 2030 wakati mwakani hatoboi...
 
Safi,Nchimbi na Kafulila ni wanademokrasia
 
Mtoe Mwiguru haraka sana
 
Sasa Si Mpaka wamrithi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…