Huenda ni mwanamke 1 kati ya 10 ndio amewahi kufika kileleni kwa Dar es Salaam

Huenda ni mwanamke 1 kati ya 10 ndio amewahi kufika kileleni kwa Dar es Salaam

Usikurupuke kama "bao la asubuhi"!
Rejea uzi nimesema sababu ya kesi nyingi za Talaka Temeke One Stop Centre, naponya ndoa za watu wewe unaleta mambo gani?

Unajichanganya ,ushasema kwamba kati ya wanake 10 basi 1 ndiyo anafikishwa halafu ukasema kesi nyingi za kuvunja ndoa ni kuwa wanawake hawafikishwi means basi kwa utafiti wako huo wa 1 kwa 10 nilitarajia ndoa nyingi zingekuiwa zishavunjika.

Sababu kuu ya ndoa kuvunjika ni kutokuwa muaminifu basi whether kwa mwanamke au mwanamme.
 
SPYMATE huyu jamaa anatuambia msipotufikisha tujichue, kweli kabisa bwana Ausar ukisaidiwa na bodaboda utalalamika?
Hadi unasaidiwa ni kwamba ulishajiandaa.........una videmu kama 10 unataka vyote uvikojoze???? Unakojoza panapoeleweka ila kwengine bora umekojoa inatosha,,,vijana mnapenda kushindana na mlipotokea
 
Unajichanganya ,ushasema kwamba kati ya wanake 10 basi 1 ndiyo anafikishwa halafu ukasema kesi nyingi za kuvunja ndoa ni kuwa wanawake hawafikishwi means basi kwa utafiti wako huo wa 1 kwa 10 nilitarajia ndoa nyingi zingekuiwa zishavunjika.

Sababu kuu ya ndoa kuvunjika ni kutokuwa muaminifu basi whether kwa mwanamke au mwanamme.
Ndio maana yake.
 
Kwa utafiti usio rasmi unaonesha Kila Mwanamke kwenye Mkoa wa DSM ana Vikoba zaidi ya 4 anacheza.

Kila kikoba anatakiwa kutoa shilingi 3,000 hivyo Kwa Vikoba 4 anatakiwa kuwa na shilingi 12,000 Kwa Siku

Kwa wiki shilingi 84,000 na Kwa Mwezi zaidi ya shilingi 336,000

Kwa idadi hiyo ya Vikoba huyo Mwanamke anafikaje kileleni?😜🙌
 
Kufika kileleni kwa baadh ya wanawake huambatana na kurushwa kwa maji maji ukeni yakiruka kama bomba kupitia njia ya uke lakini si haja ndogo.Majimaji hutoka karibu na uke, kwenye tezi inayoitwa "skene".

Kwa wanaume wakifika kileleni hukakamaa, hutoa mlio kama simba, kumkumbatia mwenza na kupata usinizi mzito sana.
Wapo wanaume wachache wanaweza kuunganisha bao la kwanza la la pili, wachache sana na wengi ni wa Mikoa ya Kaskazini kwa tafiti zinaonyesha Arusha na Kilimanjaro.

Tatizo kubwa katika hili ni kwamba ukienda kwenye tendo la ndoa kwa ajili ya kujifurahisha na kuishia kughushi, unachopata ni kuchanganyikiwa na kupungua kwa hamu.

Wakati mwingine kufika kileleni haionekani, kwa sababu tuna wasiwasi, tumechoka, kwenye lishe, na kazi nyingi ... Lakini hii lazima iwe kitu maalum. Ikiwa hufikii mara saba kati ya 10, nenda moja kwa moja kwenye mtaalam wa ngono.

Wanandoa wengi , yaani wanaume na wanawake wana tabia ya kuighushi ikiwa wanapoteza ugumu wa uume au wanapata shida kuitunza, ama kwa sababu ya wasiwasi au kwa sababu wanatumia dawa za mfadhaiko (dawa hizi hupunguza kasi ya kufika kileleni).

Kuna mtu ana ndoa ya miaka 30 na hajawahi kufikishwa kileleni.

SWALI KWA WANAWAKE: Je, Mama mwenzangu , kuwa mkweli, umewahi kufikishwa kileleni? Umewahi kurusha maji? Squitting?

SWALI KWA WANAUME: Mkeo/mchumba kama hujawahi kumfikisha kileleni, au kama hujawahi kumtoa hayo maji siku ikitokea akakutana na dereva boda-boda akamfikisha kileleni basi ndoa imekufa.!

GEN -Z na WANAUME: Mkiona mwanaume mwenye ndoa anakula chips au ice cream au kuku wa kisasa mwambie atasaidiwa kazi na dereva bodaboda.

NOTE: Wanawake wengi wanaofungua talaka pale Mahakama ya Temeke-kituo jumuishi , wanaleta visingizio vingi ila kikubwa ni kutofikishwa kilwlwni na wao wakiona uzi kama hu ndio hasira kabisa.
Ambaye hajawahi kabisa anitafute.
 
CORRECTION:
skene gland inahusika na normal female ejaculation na sio squrting .squrting ni kitendo cha maji yasiyo na rangi kutoka katika njia ya mkojo ya mwanamke pindi anapofika kileleni na maji hayo huwa yanajikusanya kwenye kibofu cha mkojo , hayana harufu, rangi wala ladha na yanatoka kwa kuruka kwa kasi.
Correction: squirting ni mkojo pure. Kuna makabila wanakuwa trained tangu wadogo. Wakati wa sex, kibofu saa nyingine kinahisika ndio feeling ya kutaka kukojoa inakuja, sasa wengi wanajibana wakiogopa, ila akijiachia ndio squirt. Ni MKOJO. Nothing else. Nyingine ni kudanganyana tu. Trust me.
 
Back
Top Bottom