GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kitu Ambacho haukijui sio Kwa ubora wa team unaingia makundi ila Kwa uzoeefu tutakutana hapa na usianze kutukana ohh mpira wa Africa ,Narudia Al hilal kuingia makundi sio story Kila mwaka wanafanya hivyo wanachotaka ni robo fainali pia Kwa El mereck muda utasema na wote wanamalizia nyumbani kama kawaida Yao.Hakuna timu ya Sudani itakayo cheza Makundi ya Caf champion league msimu huu, Wana timu mbovu sana, zinaweza zisi ingie ata Makundi ya shirikisho.
Yanga inawachezaji wazoefu wa michuano ya Africa kuliko ao Al hilal wenye timu mpya, mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni. Kwasasa Yanga wapo vizuri, hakuna wa kumzuia asiende Makundi.Kitu Ambacho haukijui sio Kwa ubora wa team unaingia makundi ila Kwa uzoeafu tutakutana hapa na usianze kutukana ohh mpira wa Africa ,Narudia Al hilal kuingia makundi sio story Kila mwaka wanafanya hivyo wanachotaka ni robo fainali pia Kwa El mereck muda utasema na wote wanamalizia nyumbani kama kawaida Yao.
Makundi ya WhatsApp labda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga inawachezaji wazoefu wa michuano ya Africa kuliko ao Al hilal wenye timu mpya, mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni. Kwasasa Yanga wapo vizuri, hakuna wa kumzuia asiende Makundi.
Yanga inawachezaji wazoefu wa michuano ya Africa kuliko ao Al hilal wenye timu mpya, mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni. Kwasasa Yanga wapo vizuri, hakuna wa kumzuia asiende Makundi.
[emoji23][emoji23]Makundi ya WhatsApp labda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wee, au bas tyuuh[emoji23][emoji23]
Kama haujui kuwa Zalan na Al Hilal hazitoki nchi moja ni wazi hujui chochote kuhusu mpira.Yanga inawachezaji wazoefu wa michuano ya Africa kuliko ao Al hilal wenye timu mpya, mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni. Kwasasa Yanga wapo vizuri, hakuna wa kumzuia asiende Makundi.
Normal calls hupatikani utanilaumu bure😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wee, au bas tyuuh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Uzoefu unapatikana wapi? wao walizaliwa na huo uzoefu?Kitu Ambacho haukijui sio Kwa ubora wa team unaingia makundi ila Kwa uzoeefu tutakutana hapa na usianze kutukana ohh mpira wa Africa ,Narudia Al hilal kuingia makundi sio story Kila mwaka wanafanya hivyo wanachotaka ni robo fainali pia Kwa El mereck muda utasema na wote wanamalizia nyumbani kama kawaida Yao.
Kipindi Simba inaingia robo fainali for the first time ilikua na wazoefu wangapi?Nitajie wachezaji wazoefu wanne wa Yanga kwenye Michuano ya Africa ambao wamewahi kugusa hata robo fainali ya Shirikisho au champions league , nimekaaa pale uniite paka.Usiongee ongee tu Bangla ,djuma ndio team yao ilikuwa inaishia nafasi ya nne Kila wakikutana na Simba kwenye makundi ,muulize azizi ki atakueleza ugumu wa kuingia robofainali .mchezaji ni mmoja tu Morison kanusa Robo fainali .Hii ni michuano wa vilabu bingwa sio team zenye mkusanyiko wa wachezaji wazuri
Kumalizia nyumbani sio kigezo cha kuwa na uhakika wa kushinda 100%! Msimu uliopita Galaxy alimalizia Lupaso na akashinda!Kitu Ambacho haukijui sio Kwa ubora wa team unaingia makundi ila Kwa uzoeefu tutakutana hapa na usianze kutukana ohh mpira wa Africa ,Narudia Al hilal kuingia makundi sio story Kila mwaka wanafanya hivyo wanachotaka ni robo fainali pia Kwa El mereck muda utasema na wote wanamalizia nyumbani kama kawaida Yao.
Sasa galaxy unawafananisha na yangaKumalizia nyumbani sio kigezo cha kuwa na uhakika wa kushinda 100%! Msimu uliopita Galaxy alimalizia Lupaso na akashinda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushabiki kazi Sana kwa kweliYanga inawachezaji wazoefu wa michuano ya Africa kuliko ao Al hilal wenye timu mpya, mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni. Kwasasa Yanga wapo vizuri, hakuna wa kumzuia asiende Makundi.
Sawa, tatizo kwa soka La bongo, ni linachezwa mdomoni zaidi..Kumalizia nyumbani sio kigezo cha kuwa na uhakika wa kushinda 100%! Msimu uliopita Galaxy alimalizia Lupaso na akashinda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakuelewa vile..Nitajie wachezaji wazoefu wanne wa Yanga kwenye Michuano ya Africa ambao wamewahi kugusa hata robo fainali ya Shirikisho au champions league , nimekaaa pale uniite paka.Usiongee ongee tu Bangla ,djuma ndio team yao ilikuwa inaishia nafasi ya nne Kila wakikutana na Simba kwenye makundi ,muulize azizi ki atakueleza ugumu wa kuingia robofainali .mchezaji ni mmoja tu Morison kanusa Robo fainali .Hii ni michuano wa vilabu bingwa sio team zenye mkusanyiko wa wachezaji wazuri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Winga Morrison, Winga Kisinda …Kumi Stephane Ki, Mbele King Of The Game “Mayele”, Kati Kati Aucho Na Fei, Kushoto Na Kulia Farid Musa Na Djuma, Nyuma Nazima Mwenyewe MVP Mzee Wa Kazi Chafu Na Mwng Wa Nguvu International Defender Dickson Kazi Af Golini Mdaka Mishale Diarra…..HIVI TUNATOLEWAJE? TUNATOLEWAJE KWA MFANO? MAMAEE!! [emoji28]