Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
djuma na bangala wamecheza fainali ya shirikisho wakiwa na as vita msimu wa 20?17/18 wakiongozwa na kocha ibenge. Walifungwa na waydadNitajie wachezaji wazoefu wanne wa Yanga kwenye Michuano ya Africa ambao wamewahi kugusa hata robo fainali ya Shirikisho au champions league , nimekaaa pale uniite paka.Usiongee ongee tu Bangla ,djuma ndio team yao ilikuwa inaishia nafasi ya nne Kila wakikutana na Simba kwenye makundi ,muulize azizi ki atakueleza ugumu wa kuingia robofainali .mchezaji ni mmoja tu Morison kanusa Robo fainali .Hii ni michuano wa vilabu bingwa sio team zenye mkusanyiko wa wachezaji wazuri
Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita.
Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira ambao kwa Levels zetu tumebahatika Kucheza hivyo tukisema Jambo kutokana na Macho yetu Pevu ya Michezo na Kiufundi huwa tunamaanisha na tuna uhakika nayo.
Ndo usubili muda uongee mmezoea maisha ya kukariri na mpira auwezi kuukariri utaishia pabaya, mpira umebadilika uyo Al hilal wako unaemsujudia usije ukamkataa badae na kuokoteza sababu nyingine zisizokuwa na kichwa wala miguu, yanga imejipanga ndani ya uwanja na nje ya uwanja nafikiri unatakiwa ulijue hilo maana naona unajiegemeza kwenye visababu vya nje ya uwanja zaidi sasa nakwambia tu yanga anatinga makundi upende usipende itakuwa ivyoKitu Ambacho haukijui sio Kwa ubora wa team unaingia makundi ila Kwa uzoeefu tutakutana hapa na usianze kutukana ohh mpira wa Africa ,Narudia Al hilal kuingia makundi sio story Kila mwaka wanafanya hivyo wanachotaka ni robo fainali pia Kwa El mereck muda utasema na wote wanamalizia nyumbani kama kawaida Yao.
Simba ilipoingia makundi ilikuwa na wachezaji wazoefu? Na huo uzoefu unaousema unatokeaje labda, alafu kitu ambacho ukijui kumalizia nyumbani sio tiket ya kukuvusha ni mjinga tu anaweza kuongea huo utumboKitu Ambacho haukijui sio Kwa ubora wa team unaingia makundi ila Kwa uzoeefu tutakutana hapa na usianze kutukana ohh mpira wa Africa ,Narudia Al hilal kuingia makundi sio story Kila mwaka wanafanya hivyo wanachotaka ni robo fainali pia Kwa El mereck muda utasema na wote wanamalizia nyumbani kama kawaida Yao.
Kuwa na kocha mzuri sio ubora wa wachezaji.Ibenge ana rekodi ya kucheza fainali ya shirikisho akiwa na as vita
Na pia ana rekodi ya kuuwaa kombe la shirikisho akiwa na ras berkane
Kujuwa tofauti kati ya Khartoum Sudan na South Sudan Juba hili wala hakihusiani na Mpira, haya ni mambo ya kisiasa, usijitowe ufahamu.Kama haujui kuwa Zalan na Al Hilal hazitoki nchi moja ni wazi hujui chochote kuhusu mpira.
Hawa ni wajinga walioanza kuufatilia Mpira juzi hawana walijuwalo.Simba ilipoingia makundi ilikuwa na wachezaji wazoefu? Na huo uzoefu unaousema unatokeaje labda, alafu kitu ambacho ukijui kumalizia nyumbani sio tiket ya kukuvusha ni mjinga tu anaweza kuongea huo utumbo
Ni mjinga pekee ndiye anaeweza ku-ignore advantage ya kumalizia nyumbani kwenye mashindano ya mtoano, hata kama sio guarantee ya kufuzu.Simba ilipoingia makundi ilikuwa na wachezaji wazoefu? Na huo uzoefu unaousema unatokeaje labda, alafu kitu ambacho ukijui kumalizia nyumbani sio tiket ya kukuvusha ni mjinga tu anaweza kuongea huo utumbo
Ninayaona ya Vipers yakijirudia kwa mkapa.Hawa ni wajinga walioanza kuufatilia Mpira juzi hawana walijuwalo.
Yanga ya akina Aziz Hunter ilishapinduwa meza Zimbabwe na kuwapiga mbili bila wenyeji wao na kusonga mbele.
Yanga Kampala Uganda ya kina Lunyamila ilipiga vigogo wote wa Uganda SC Villa na Express na kurudi na kumbe Dar es salaam, kina how as imbues mbumbumbu ni chuki imewajaa.
Yanga hii inaingia kwenye makundi kibabe na tunapiga mtu nje ndani.
Lini vipers imecheza mechi ya mashindano na Yanga,?Ninayaona ya Vipers yakijirudia kwa mkapa.
Tatizo munaishi kwa mazoea.Nitajie wachezaji wazoefu wanne wa Yanga kwenye Michuano ya Africa ambao wamewahi kugusa hata robo fainali ya Shirikisho au champions league , nimekaaa pale uniite paka.Usiongee ongee tu Bangla ,djuma ndio team yao ilikuwa inaishia nafasi ya nne Kila wakikutana na Simba kwenye makundi ,muulize azizi ki atakueleza ugumu wa kuingia robofainali .mchezaji ni mmoja tu Morison kanusa Robo fainali .Hii ni michuano wa vilabu bingwa sio team zenye mkusanyiko wa wachezaji wazuri
Ona sasa ulivyo utopolo? Unashindwa kujua kuwa mpira unahusiana na sisasa kwa 100%.Kujuwa tofauti kati ya Khartoum Sudan na South Sudan Juba hili wala hakihusiani na Mpira, haya ni mambo ya kisiasa, usijitowe ufahamu.
Huenda, huenda, huenda! Nenda ukabeti kwenye makampuni husika huko, sasa unatuletea ramli zako halafu sisi tufanye nini?Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita.
Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira ambao kwa Levels zetu tumebahatika Kucheza hivyo tukisema Jambo kutokana na Macho yetu Pevu ya Michezo na Kiufundi huwa tunamaanisha na tuna uhakika nayo.
Simba hii hii ya kina KibuGenta, Zungumzia Yanga sio Simba! Tunapozungumzia soka la kimataifa Simba ni timu nyingine kabisa kwa hapa Tz huwezi linganisha na hawa Yanga ambao kuchukua ubingwa wa NBC tu mpaka wacheze sana rafu za nje ya uwanja!
Kama tunaanzia game Angola mimi nina uhakika 98% Simba itavuka labda majirani zetu hao vyura!
naungana na weweKuwa na kocha mzuri sio ubora wa wachezaji.
.
Tuna imani kwa mwamko wa michezo tulionao kwa team za Tanzania hasa vilabu VIWILI vikubwa nchini,Africa itashuhudia maajabu
Makundi ya umiseta labda hakuna team inacheza mechi zote mbili za Caf champions league halafu wanakuja kupiga kelele tu huku ndio maana team zinapewa goli la ugenini sasa team inatoka kigamboni mpaka kwa mkapa halafu wanasema wamesafiri kweli kule ni mambumbu fc.Makundi ya WhatsApp labda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app