Huenda Safari ya 'Mafahari' Wawili wa Tanzania zikaishia Angola na Sudan

djuma na bangala wamecheza fainali ya shirikisho wakiwa na as vita msimu wa 20?17/18 wakiongozwa na kocha ibenge. Walifungwa na waydad
 
Nabii asiyeona! 😀
 
Ndo usubili muda uongee mmezoea maisha ya kukariri na mpira auwezi kuukariri utaishia pabaya, mpira umebadilika uyo Al hilal wako unaemsujudia usije ukamkataa badae na kuokoteza sababu nyingine zisizokuwa na kichwa wala miguu, yanga imejipanga ndani ya uwanja na nje ya uwanja nafikiri unatakiwa ulijue hilo maana naona unajiegemeza kwenye visababu vya nje ya uwanja zaidi sasa nakwambia tu yanga anatinga makundi upende usipende itakuwa ivyo
 
Yanga wana miaka 24 mfululizo hawajafika CCC group stage.
 
Simba ilipoingia makundi ilikuwa na wachezaji wazoefu? Na huo uzoefu unaousema unatokeaje labda, alafu kitu ambacho ukijui kumalizia nyumbani sio tiket ya kukuvusha ni mjinga tu anaweza kuongea huo utumbo
 
Ibenge ana rekodi ya kucheza fainali ya shirikisho akiwa na as vita

Na pia ana rekodi ya kuuwaa kombe la shirikisho akiwa na ras berkane
Kuwa na kocha mzuri sio ubora wa wachezaji.
.
Tuna imani kwa mwamko wa michezo tulionao kwa team za Tanzania hasa vilabu VIWILI vikubwa nchini,Africa itashuhudia maajabu
 
Simba ilipoingia makundi ilikuwa na wachezaji wazoefu? Na huo uzoefu unaousema unatokeaje labda, alafu kitu ambacho ukijui kumalizia nyumbani sio tiket ya kukuvusha ni mjinga tu anaweza kuongea huo utumbo
Hawa ni wajinga walioanza kuufatilia Mpira juzi hawana walijuwalo.

Yanga ya akina Aziz Hunter ilishapinduwa meza Zimbabwe na kuwapiga mbili bila wenyeji wao na kusonga mbele.

Yanga Kampala Uganda ya kina Lunyamila ilipiga vigogo wote wa Uganda SC Villa na Express na kurudi na kumbe Dar es salaam, kina how as imbues mbumbumbu ni chuki imewajaa.

Yanga hii inaingia kwenye makundi kibabe na tunapiga mtu nje ndani.
 
Simba ilipoingia makundi ilikuwa na wachezaji wazoefu? Na huo uzoefu unaousema unatokeaje labda, alafu kitu ambacho ukijui kumalizia nyumbani sio tiket ya kukuvusha ni mjinga tu anaweza kuongea huo utumbo
Ni mjinga pekee ndiye anaeweza ku-ignore advantage ya kumalizia nyumbani kwenye mashindano ya mtoano, hata kama sio guarantee ya kufuzu.
 
Ninayaona ya Vipers yakijirudia kwa mkapa.
 
Tatizo munaishi kwa mazoea.
Nyie ndio munaeamini timu kutoka Tanzania ikicheza na timu za ukanda wa waarabu lazima ifungwe.

Kwa sasa ligi yetu imekomaa, tofauti na miaka ya nyuma.

Chochote kinaweza tokea, na yeyote anaweza tolewa.
 
Kujuwa tofauti kati ya Khartoum Sudan na South Sudan Juba hili wala hakihusiani na Mpira, haya ni mambo ya kisiasa, usijitowe ufahamu.
Ona sasa ulivyo utopolo? Unashindwa kujua kuwa mpira unahusiana na sisasa kwa 100%.
 
Genta, Zungumzia Yanga sio Simba! Tunapozungumzia soka la kimataifa Simba ni timu nyingine kabisa kwa hapa Tz huwezi linganisha na hawa Yanga ambao kuchukua ubingwa wa NBC tu mpaka wacheze sana rafu za nje ya uwanja!
Kama tunaanzia game Angola mimi nina uhakika 98% Simba itavuka labda majirani zetu hao vyura!
 
Huenda, huenda, huenda! Nenda ukabeti kwenye makampuni husika huko, sasa unatuletea ramli zako halafu sisi tufanye nini?
 
Simba hii hii ya kina Kibu
Simba hii hii ya kina Kiyombo na Mzamiru
Simba hii ya kina Kapama na Mzungu
Hii timu haifiki popote na hata kwenye ligi itashika nafasi ya tatu
 
Makundi ya WhatsApp labda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Makundi ya umiseta labda hakuna team inacheza mechi zote mbili za Caf champions league halafu wanakuja kupiga kelele tu huku ndio maana team zinapewa goli la ugenini sasa team inatoka kigamboni mpaka kwa mkapa halafu wanasema wamesafiri kweli kule ni mambumbu fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…