Je wajua yanga haijawahi kumpanga Lazarus kambole hata kwenye mechi moja ya pre season au kwenye league na walivyoona wamepigwa wakasema ni majeruhi wakati ni uongo walimchukua nchimbi pro max.Ona awa wasauzi
Naona Unawashwa tafuta wa Kukukuna sawa?Huenda, huenda, huenda! Nenda ukabeti kwenye makampuni husika huko, sasa unatuletea ramli zako halafu sisi tufanye nini?
Mkuu hao wasikuumize kichwa wenye akili ni wawili tu ukiona wanavyoiyongelea yanga ni kama wanaiongelea Barcelona vile.Ushabiki kazi Sana kwa kweli
Hauyaoni ya Juaneng Galaxy?Ninayaona ya Vipers yakijirudia kwa mkapa.
Baadae simba akaenda wapi?Hauyaoni ya Juaneng Galaxy?
Muongooooo, napatikanaaa sanaaaa. Mmmmh.Normal calls hupatikani utanilaumu bure[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooooo.Makundi ya umiseta labda hakuna team inacheza mechi zote mbili za Caf champions league halafu wanakuja kupiga kelele tu huku ndio maana team zinapewa goli la ugenini sasa team inatoka kigamboni mpaka kwa mkapa halafu wanasema wamesafiri kweli kule ni mambumbu fc.
Iyo ni line up 2018 as vita anacheza final na Raj uwe basi unafatilia mpira bangala moloko Kisinda juma shabani wote walikuwepo kwenye iyo fainalNitajie wachezaji wazoefu wanne wa Yanga kwenye Michuano ya Africa ambao wamewahi kugusa hata robo fainali ya Shirikisho au champions league , nimekaaa pale uniite paka.Usiongee ongee tu Bangla ,djuma ndio team yao ilikuwa inaishia nafasi ya nne Kila wakikutana na Simba kwenye makundi ,muulize azizi ki atakueleza ugumu wa kuingia robofainali .mchezaji ni mmoja tu Morison kanusa Robo fainali .Hii ni michuano wa vilabu bingwa sio team zenye mkusanyiko wa wachezaji wazuri
GENTAMYCINE tuambie tu tujue nani atatoka tujiandae kisaikolojia manake hukoseagiLeo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita.
Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira ambao kwa Levels zetu tumebahatika Kucheza hivyo tukisema Jambo kutokana na Macho yetu Pevu ya Michezo na Kiufundi huwa tunamaanisha na tuna uhakika nayo.
Unazani hao wanatoka kule kwa Zolan sijui Zalan. Shauri yenuHakuna timu ya Sudani itakayo cheza Makundi ya Caf champion league msimu huu, Wana timu mbovu sana, zinaweza zisi ingie ata Makundi ya shirikisho.
Una akili au matope, unajua profile ya wachezaji wa al hilal ama unaropoka tuYanga inawachezaji wazoefu wa michuano ya Africa kuliko ao Al hilal wenye timu mpya, mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni. Kwasasa Yanga wapo vizuri, hakuna wa kumzuia asiende Makundi.
Mzee wa matusi hujambo? Eti nawewe uliwahi kuwa mtoto wa kigogo na matusi hayo, loh! Kwenda huko na huenda huenda yako. Hatufanyii kazi ramli sisi.Naona Unawashwa tafuta wa Kukukuna sawa?
Unabisha na watoto walioanza kushabikia mpira jana baada ya kumaliza form four?Kipindi Simba inaingia robo fainali for the first time ilikua na wazoefu wangapi?
Kisinda ,Bangala siwaoni hapa labda unisaidie kuwaonaIyo ni line up 2018 as vita anacheza final na Raj uwe basi unafatilia mpira bangala moloko Kisinda juma shabani wote walikuwepo kwenye iyo fainalView attachment 2361488
Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app