Huenda Safari ya 'Mafahari' Wawili wa Tanzania zikaishia Angola na Sudan

Wasudani ni watu wa hovyo sana msimu huu timu lao bovu sana ila figisu nje ya uwanja ndo zitawabeba..utopolo kitachowaponza ni ugeni na presha ya michuano..Makolo fc wao wana faida ya kuanzia ugenini bila shaka wanaweza kufuzu kwani kwao sio ishu kubwa
 
Mpira ungekuwa hayo majina basi ingekuwa rahisi sana
 
Hii timu ya kawaida Sana Kwa level za CAF. Kwanza hapo golini ni pazia Bora aanze mshery. Hicho kiungo chenu cha fei na aucho Bora mmoja aanzie benchi halafu mauya aanze. Kiufupi ni timu inayofungika kirahisi Sana, rejea Sopu alichofanya.
 
Mauya?? [emoji28][emoji28][emoji28], Una Haki Ya Kuwa Kolo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…