Huenda Samia Suluhu akawa mwanasiasa mwanamke wa kwanza duniani kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo zaidi ya wengine ulimwenguni

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
 
Huenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa october ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Wacha bwana😃😃😃
 
Huo uwezo hana! Iwapo tu kutakuwepo na mazingira huru. Ila kwa haya mazingira ya sasa ya kupika matokeo, hakika nakubaliana na wewe.
Gentleman,
nadharia na dhana mbalimbali katika chaguzi za Tanzania na hususani huu utakao fanyika October mwaka huu 2025, hazijawahi kua na mashiko wala athari zozote kwenye uhalali wa uchaguzi wenyewe.

dosari na kasoro chache katika chaguzi mbalimbali Tanzania, huchukuliwa kama fursa ya kufanya vizuri zaidi na ndio maana, chaguzi za Tanzania huvitia ulimwengu mzima kuja kujifunza na kushuhudia namna bora ya kuendesha chaguzi huru, za haki na wazi kwa amani 🐒
 
Huenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa october ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania

Mshamaliza mahesabu tayari maporini mkuu? Mapema kweli kazi mmemaliza, Asilimia ngapi mmempa zamu hii?
 
Mshamaliza mahesabu tayari maporini mkuu? Mapema kweli kazi mmemamaliza, Asilimia ngapi mmempa zamu hii?
nadharia na dhana mbalimbali katika chaguzi za kidemokrasia, hua hazina athari zozote kwenye uhalisia gentleman,

zingatia mashiko ya hoja, itakusaiadia sana 🐒
 
Gentleman,
nadharia na dhana mbalimbali katika chaguzi za Tanzania na hususani huu utakao fanyika October mwaka huu 2025, hazijawahi kua na mashiko wala athari zozote kwenye uhalali wa uchaguzi wenyewe.

dosari na kasoro chache katika chaguzi mbalimbali Tanzania, huchukuliwa kama fursa ya kufanya vizuri zaidi na ndio maana, chaguzi za Tanzania huvitia ulimwengu mzima kuja kujifunza na kushuhudia namna bora ya kuendesha chaguzi huru, za haki na wazi kwa amani 🐒
Kuna mstari mmoja kwenye Biblia unaanza kwa neno laiti.
 
Kampeni zimeanza mapema sana safari hii.
sifahamu gentleman,
but ngazi ya urasi, CCM imeshamuidhinisha Dr Samia Suluhu Hassan kama mgombeaji urais wake.

Sasa ukijaribu kufanya speculation za akina nani watateuliwa na kua wagombea uongozi wa vyama vingine vya siasa na ukilinganisha na huyu wa CCM,

taswira ya ushindi wake wa kishindo inayojitokeza ni ile ya kuvunja record ya dunia katika ushindi wa kishindo kwenye chaguzi za kidemokrasia 🐒
 
Gentleman,
nadharia na dhana mbalimbali katika chaguzi za Tanzania na hususani huu utakao fanyika October mwaka huu 2025, hazijawahi kua na mashiko wala athari zozote kwenye uhalali wa uchaguzi wenyewe.

dosari na kasoro chache katika chaguzi mbalimbali Tanzania, huchukuliwa kama fursa ya kufanya vizuri zaidi na ndio maana, chaguzi za Tanzania huvitia ulimwengu mzima kuja kujifunza na kushuhudia namna bora ya kuendesha chaguzi huru, za haki na wazi kwa amani 🐒
Huenda hujwahi kushiriki zoezi lolote la usimamizi wa uchaguzi ndoo maana una pata nguvu ya kuandika hayo.Lakini sisi tulioshiriki serikaliza mitaa 2019 na 2024,uchaguzi mkuu 2020 tunasema endelea kuandika hivyo vya dhana na nadharia .Dhambi tunazolazimishwa kufanya Nauye alizielezea bila kuogopa na akasema baada ya hapo wanaenda kuomba toba ya kusamehewa na Mungu
 
Back
Top Bottom