Huenda Samia Suluhu akawa mwanasiasa mwanamke wa kwanza duniani kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo zaidi ya wengine ulimwenguni

Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania

Kwa uchaguzi wa Tanzania it's obviously,
Wala sio kitu cha kujivunia
 
Gentleman,
kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi wa mtu binafsi,

vivyo hivyo kujivunia ama kutojivunia uzalendo na mambo ya Taifa lako ni uhuru na haki yako.

But uchaguzi huru, wa haki na wa wazi utafanyika October mwaka huu 2025 bila mbambamba yoyote 🐒
 
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Tumekusikia Makala!
 
Gentleman,
uchaguzi mkuu ukitamatika October, ni muhimu sana kutathimini na pengine kulinganisha ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan dhidi ya hao ulowataja, kisha utafahamu record muhimu atakayoandikisha Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
Record za dunia anazo nyingi sana na hii ya uchaguzi wa October haina mjadala. eg ana record ya kutunukiwa PhD nyingi etc
 
Asante kukumbusha record nyingine muhimu gentleman kwa faida ya wadau 🐒
 
ILA KIHESABU INAFIKIRISHA
UKUTE WALIOJIANDIKISHA 95%
WALIOPIGA KURA 45%
KIONGOZI ANAPATA KURA 35% (KATI YA 45% ZILIZOPIGWA)
UTASIKIA KIONGOZI AMESHINDA KWA KISHINDO
 
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
labda ashinde njaa
hakuna uchaguzi atakaoshinda samia nchi hii
atabaki kuwa rais wa kurithi na atapisha muda ukiisha
akibisha mie simo!
 
Vigezo au sifa zinazotambulisha uchaguzi kuwa huru,wa haki na wa wazi ni zipi ?
unadra wa kasoro na dosari ni miongni mwa viashiria vya chaguzi,

Lakini amani na utulivu baada ya uchaguzi ni uthibitisho muhimu sana wa chaguzi huru, wazi na za haki 🐒🐒
 
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Mnahangaika na kutumia nguvu KUBWA!Chanzo Cha utafiti wako?
 
WAZO:

1. Badilisha Katiba ya nchi ili itoe ruhusa ya matokeo kupingwa mahakamani;

2. Badilisha Katiba ili itoe ruhusa ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi ambayo Rais hatakuwa na mamlaka nayo kwa jambo lolote hususani kuteua wajumbe wake kupitia chombo chochote ambacho kinasimamiwa na watu ambao Rais ni mteuzi wao;

3. Agiza Bunge litunge Sheria ya Tume huru ya uchaguzi itakayokuwa huru kweli kuanzia watumishi wake na masuala ya fedha;

4. Tunga Sheria ambayo itahalamisha Polisi au vyombo vingine vya Ulinzi na usalama, mawaziri, RCs, DCs, DEDs, etc, kuingilia au kushiriki kwa uwazi au Siri katika mchakato wa aina yoyote wa uchaguzi; na

5. Tunga Sheria ambayo itaruhusu vyama vya siasa na wanasiasa kushiriki uchaguzi kwa njia ya ushindani wa hoja tu na sio vitisho na propaganda.

Otherwise, kila mtanzania atafurahi kama Mama atashinda kutokana na uchaguzi ambao utakuwa huru na haki and not vice versa.
 
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Kama wenye viti na wajumbe wanapita mtaani na 📕 wanachukua namba za kitambulisho basi atashinda kweli kwa kishindo..
 
Uchaguzi hauwezi fanyika bila madadiliko mzee au bado uamini subiri uone.
 
wapiga kura waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ndio haswa wenye haki kupiga kura na kuamua nani awe kiongozi chini ya tume huru ya Taifa ya uchaguzi,

ushirikiana mwingine nje ya hapo utambuliwe na wewe binafsi na pengine wenye imani hizo.

But uchaguzi huru na wa haki, utafanyika October mwaka huu kwa mujibu wa katiba na sio kwasababu ya mayowe au manung'uniko ya kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini 🐒
 
Uchaguzi hauwezi fanyika bila madadiliko mzee au bado uamini subiri uone.
mabadiliko yalishafanyika gentleman,
unless athari za kujitenga na michakato ya kidemokrasia zinakukumba,

inamaana hijui badala ya wakurungezi wa halmashauri kusimamia uchaguzi, nani amepewa jukumu hilo muhimu la kusimia uchaguzi huo ?

Hujui hata wafungwa wameruhisiwa ama la kupiga kura kwenye uchaguzi huu?

hapatakua na mabadiliko tena na wala hayana haja kabisaa gentleman 🐒
 
Akina Margaret Thatcher pia walikuwa wakishinda kwa kishindo KIHALALI sio through vote rigging na fraud.
 
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
I wish she drops ,and die!
 
I wish she drops ,and die!
gentleman,
its up on you witch doctors,

but for we who trust in God, we rubbish such a wishes because they are null and completely void according to our faith :pedroP:
 
Back
Top Bottom