LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Kwa sasa kampeni zilishaanza kitambo, ila kwa ccm Kila sehemu utasikia mama mitano Tena😂😂Kampeni za mama! Mama tu ndio anaruhusiwa kusaidiwa kampeni na vyombo vyote vya nchi
Kwa sasa kampeni zilishaanza kitambo, ila kwa ccm Kila sehemu utasikia mama mitano Tena😂😂Kampeni za mama! Mama tu ndio anaruhusiwa kusaidiwa kampeni na vyombo vyote vya nchi
Mkuu Samia alishaanza kampeni kitambo, ndo maana Kila anakopita utasikia mitano Tena, huwezi msikia msajili wala tume wakisema watu wameanza kampeni mapema1. Tanzania hakuna Demokrasia, na dunia yote inajua
2. Samia Suluhu alipata urais kwa kurithi baada ya JPM kufariki,
3. Hata hii awamu siyo ya 6 yeye na nyie wapambe mmelazimisha kuwa ya sita. Kiukweli ni awamu ya tano ambayo Samia anamalizia baada ya Rais kufariki.
4. Samia hajawahi kua PhD holder, ingawa niyie mnalazimisha, tuonyeshe hata hiyo paper aliyoandoka - Jarida. Inawezekana akawa mmoja Katika wale dikteta kama Idd Amin waliojipa veo vingi bila kua navyo. Huo udaktari ni heshima tu, tena ya bandia, hakuna alichofanya cha maana.
5. Mkitaka atambuliwe mwacheni mwenyewe mwaka huu agombee mwenyewe na aende kila sehemu aongee menyewe tumsike bila polisi kuwazuia Chadema, tuone.
Acheni upuuzi
Mkuu umemuonea itakuwa 99.9% SI tunatoka tu amri Mkurugenzi atakayempa chini ya hiyo Hana kaziZikipungua sana 90%
😂😂😂Umeambiwa hii ni Botswana aambako wanapachikana wanawake watupu mpaka makamo wa rais mwanamke, robo 3 au nusu ya mawaziri ni wanawake tupu as if wanaume hakuna wanachojua inamaana Botswana wanaume wote ni maboga?
dhana na nadharia potofu, mihemko wala makasiriko ya tapeli au kibaka yeyote wa kisiasa nchini, dhidi ya demokrasia inayositawi zaidi Tanzania, haizina athari zozote kwenye uhalali wa uchaguzi huru, wa wazi na wa haki wa Tanzania.1. Tanzania hakuna Demokrasia, na dunia yote inajua
2. Samia Suluhu alipata urais kwa kurithi baada ya JPM kufariki,
3. Hata hii awamu siyo ya 6 yeye na nyie wapambe mmelazimisha kuwa ya sita. Kiukweli ni awamu ya tano ambayo Samia anamalizia baada ya Rais kufariki.
4. Samia hajawahi kua PhD holder, ingawa niyie mnalazimisha, tuonyeshe hata hiyo paper aliyoandoka - Jarida. Inawezekana akawa mmoja Katika wale dikteta kama Idd Amin waliojipa veo vingi bila kua navyo. Huo udaktari ni heshima tu, tena ya bandia, hakuna alichofanya cha maana.
5. Mkitaka atambuliwe mwacheni mwenyewe mwaka huu agombee mwenyewe na aende kila sehemu aongee menyewe tumsike bila polisi kuwazuia Chadema, tuone.
Acheni upuuzi
NI UKWELI MCHUNGU AMBAO CHADEMA WATASHANGAA INAVYOKUWA HAWATA AMINIHuenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
uchaguzi huru, wa wazi na wa haki upo Tanzania na utafanyika October mwaka huu kwa mujibu wa katiba ya nchi bila mayowe wala makelele ya kibaka au tapeli yeyote wa kisiasa nchini.Acha kuhadaa watu, kuna uchaguzi Tanzania?? ama uhuni wa CCM na washirika wao
Atashinda mana necccm na policeccm wote ndio watangaza kura...uchaguzi chini ya necccm ashinde.Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Ukwel upi wewe ? Magoigoi mmejazana hatari.sure gentleman,
Ukweli umekua mwingi halafu wengi walizoea uongo dah 🐒
Kwa Huyu Kuna 101% Kwa Jinsi Mambo Yanavyokwenda,,Nadhani Wafahamu VemaZikipungua sana 90%
Gentleman,Atashinda mana necccm na policeccm wote ndio watangaza kura...uchaguzi chini ya necccm ashinde.
Hicho chama hata mwenye utindio wa ubongo hawezi kukipa kura
Ameviagiza vyombo vya dola na tume ya uchaguzi vimtangaze kwa kura ngapi?Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Gentleman,Ameviagiza vyombo vya dola na tume ya uchaguzi vimtangaze kwa kura ngapi?