maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Kampeni za mama! Mama tu ndio anaruhusiwa kusaidiwa kampeni na vyombo vyote vya nchiKampeni zimeanza mapema sana safari hii.
Kampeni za mama! Mama tu ndio anaruhusiwa kusaidiwa kampeni na vyombo vyote vya nchiKampeni zimeanza mapema sana safari hii.
Umeambiwa hii ni Botswana aambako wanapachikana wanawake watupu mpaka makamo wa rais mwanamke, robo 3 au nusu ya mawaziri ni wanawake tupu as if wanaume hakuna wanachojua inamaana Botswana wanaume wote ni maboga?Mungu Ibarki Tanzania
Gentleman,Sasa samia utaweza mfananisha na harkt za watu kama Hillary Clinton au Kamala Harris?
Aseme tuu kwa Tanzania she deserves maake mpinzani hana
Ntumie elfu tano nikanywe supu GentlemanGentleman,
uchaguzi mkuu ukitamatika October, ni muhimu sana kutathimini na pengine kulinganisha ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan dhidi ya hao ulowataja, kisha utafahamu record muhimu atakayoandikisha Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
Kushinda kwake ni obvious,kwakuwa bado upinzani hawajajipanga vizuri....Huenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
kwani ubaya uko wapi na ulitaka iweje?Umeambiwa hii ni Botswana aambako wanapachikana wanawake watupu mpaka makamo wa rais mwanamke, robo 3 au nusu ya mawaziri ni wanawake tupu as if wanaume hakuna wanachojua inamaana Botswana wanaume wote ni maboga?
Lucas keshakata tamaa, kakuachia wewe usikate tamaa.Huenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
watajipanga tu gentleman,Kushinda kwake ni obvious,kwakuwa bado upinzani hawajajipanga vizuri....
Huenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Gentleman,Pia huenda akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Kidictior duniani. Au Mwanamke wa kwanza kuiba chaguzi duniani....!!
Unakieelewa ulichokiandika hapa au umekurupushwa machakani na jani lako mkononi ukiwa unakunya?Ni muhimu kuondokana na dhana ya mfumo dume kwenye saikolojia za jamii.
Hata hivyo, unapokua kiongozi ni muhimu zaidi kuzingatia uwezo wa mtu kufanya kazi na sio jinsia yake.
Tz mawaziri wengi wa kiume, mbona sio Tatizo?🐒
Gentleman,
hizo ni dhana na nadharia zisizo na athari yoyote katika uhalali wa chaguzi za Tanzania, na katika kuandikisha record hiyo muhimu ya Dr Samia Suluhu Hassan duniani.
So,
relax tu na itapendeza zaidi 🐒
Gentleman,Huenda hujwahi kushiriki zoezi lolote la usimamizi wa uchaguzi ndoo maana una pata nguvu ya kuandika hayo.Lakini sisi tulioshiriki serikaliza mitaa 2019 na 2024,uchaguzi mkuu 2020 tunasema endelea kuandika hivyo vya dhana na nadharia .Dhambi tunazolazimishwa kufanya Nauye alizielezea bila kuogopa na akasema baada ya hapo wanaenda kuomba toba ya kusamehewa na Mungu
Hofu yao kuwa haya yatawezekana mwaka huu?Kampeni zimeanza mapema sana safari hii.
NO REFORMS NO ELECTIONHuenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
1. Tanzania hakuna Demokrasia, na dunia yote inajuaHuenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.