Huenda Samia Suluhu akawa mwanasiasa mwanamke wa kwanza duniani kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo zaidi ya wengine ulimwenguni

Huenda Samia Suluhu akawa mwanasiasa mwanamke wa kwanza duniani kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo zaidi ya wengine ulimwenguni

Under FREE and FAIR election ground hakika hata asilimia 20 ya kura hapati, ila chini ya huu MFUMO uliopo wa wizi wa kura na kupindisha matokeo basi atashinda Kwa kishindo Kama usemavyo
 
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.

Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.

Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Kwa akili hizi Tanzania itaendelea kuwa third world country.
 
Gentleman,
kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi wa mtu binafsi,

vivyo hivyo kujivunia ama kutojivunia uzalendo na mambo ya Taifa lako ni uhuru na haki yako.

But uchaguzi huru, wa haki na wa wazi utafanyika October mwaka huu 2025 bila mbambamba yoyote 🐒

Haha hahaha 😆
Uzuri wa Vijana wa CCM mnajua ukweli wote

Yan hapo unajitoa akili but unaelewa kila kitu
 
Tufwire,
Yaani kama wa kurithi tu hali imekuwa ngumu hivi, akishinda kwa kishindo hali itakuwaje?
Mimi sitamani ashinde
 
Back
Top Bottom