AminaMungu Ibarki Tanzania
Wacha bwanaπππHuenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa october ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?π
Mungu Ibarki Tanzania
Gentleman,Huo uwezo hana! Iwapo tu kutakuwepo na mazingira huru. Ila kwa haya mazingira ya sasa ya kupika matokeo, hakika nakubaliana na wewe.
Huenda maajaba na rekodi mpya ikaandikwa october ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi kwa wanawake waliowahi kugombea na kushinda chaguzi mbalimbali za kidemokrasia duniani.
Kuna uwezekano akaandikisha historia na rikodi mpya, na akabadili kabisaa historia ya dunia katika masuala ya ushindi katika chaguzi za kisiasa na za kidemokrasia duniani kwa wanawake.
Una mtazamo gani juu ya hili muhimu na la kipekee sana katika siasa, kama mdau muhimu katika siasa hususani za Tanzania?π
Mungu Ibarki Tanzania
nadharia na dhana mbalimbali katika chaguzi za kidemokrasia, hua hazina athari zozote kwenye uhalisia gentleman,Mshamaliza mahesabu tayari maporini mkuu? Mapema kweli kazi mmemamaliza, Asilimia ngapi mmempa zamu hii?
Kuna mstari mmoja kwenye Biblia unaanza kwa neno laiti.Gentleman,
nadharia na dhana mbalimbali katika chaguzi za Tanzania na hususani huu utakao fanyika October mwaka huu 2025, hazijawahi kua na mashiko wala athari zozote kwenye uhalali wa uchaguzi wenyewe.
dosari na kasoro chache katika chaguzi mbalimbali Tanzania, huchukuliwa kama fursa ya kufanya vizuri zaidi na ndio maana, chaguzi za Tanzania huvitia ulimwengu mzima kuja kujifunza na kushuhudia namna bora ya kuendesha chaguzi huru, za haki na wazi kwa amani π
Mkuu unakabia juu sanaUtakuta ni mume wa mtu kabisa
Sasa samia utaweza mfananisha na harkt za watu kama Hillary Clinton au Kamala Harris?Mkuu unakabia juu sana
sifahamu gentleman,Kampeni zimeanza mapema sana safari hii.
Huenda hujwahi kushiriki zoezi lolote la usimamizi wa uchaguzi ndoo maana una pata nguvu ya kuandika hayo.Lakini sisi tulioshiriki serikaliza mitaa 2019 na 2024,uchaguzi mkuu 2020 tunasema endelea kuandika hivyo vya dhana na nadharia .Dhambi tunazolazimishwa kufanya Nauye alizielezea bila kuogopa na akasema baada ya hapo wanaenda kuomba toba ya kusamehewa na MunguGentleman,