Huenda Samia Suluhu akawa mwanasiasa mwanamke wa kwanza duniani kushinda uchaguzi mkuu kwa kishindo zaidi ya wengine ulimwenguni

Mungu Ibarki Tanzania
Umeambiwa hii ni Botswana aambako wanapachikana wanawake watupu mpaka makamo wa rais mwanamke, robo 3 au nusu ya mawaziri ni wanawake tupu as if wanaume hakuna wanachojua inamaana Botswana wanaume wote ni maboga?
 
Sasa samia utaweza mfananisha na harkt za watu kama Hillary Clinton au Kamala Harris?

Aseme tuu kwa Tanzania she deserves maake mpinzani hana
Gentleman,
uchaguzi mkuu ukitamatika October, ni muhimu sana kutathimini na pengine kulinganisha ushindi wa kishindo wa Dr.Samia Suluhu Hassan dhidi ya hao ulowataja, kisha utafahamu record muhimu atakayoandikisha Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Ntumie elfu tano nikanywe supu Gentleman
 
Kushinda kwake ni obvious,kwakuwa bado upinzani hawajajipanga vizuri....
 
Umeambiwa hii ni Botswana aambako wanapachikana wanawake watupu mpaka makamo wa rais mwanamke, robo 3 au nusu ya mawaziri ni wanawake tupu as if wanaume hakuna wanachojua inamaana Botswana wanaume wote ni maboga?
kwani ubaya uko wapi na ulitaka iweje?
mbona hulalamiki hung'ung'unikii Kenya yenye rais na makamu wake wanaume?

Botswana kua na rais na makamu wake mwanamke ni record mpya ya kipekee ulimwenguni, but mbona kama imekua nongwa my friends ladies and gentlemen?

Ni muhimu kuondokana na dhana ya mfumo dume kwenye saikolojia za jamii.
Hata hivyo, unapokua kiongozi ni muhimu zaidi kuzingatia uwezo wa mtu kufanya kazi na sio jinsia yake.

Tz mawaziri wengi wa kiume, mbona sio Tatizo?πŸ’
 
Lucas keshakata tamaa, kakuachia wewe usikate tamaa.
 
Kushinda kwake ni obvious,kwakuwa bado upinzani hawajajipanga vizuri....
watajipanga tu gentleman,
ila ndo hivyo tena record mpya ya kipekee sana ulimwenguni inakwenda kuandikishwa baada ya ile ya pale Botswana ambayo ni tofaut kidogo na atakayoiweka Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Pia huenda akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Kidictior duniani. Au Mwanamke wa kwanza kuiba chaguzi duniani....!!
 
Pia huenda akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Kidictior duniani. Au Mwanamke wa kwanza kuiba chaguzi duniani....!!
Gentleman,
hizo ni dhana na nadharia zisizo na athari yoyote katika uhalali wa chaguzi za Tanzania, na katika kuandikisha record hiyo muhimu ya Dr Samia Suluhu Hassan duniani.

So,
relax tu na itapendeza zaidi πŸ’
 
Ni muhimu kuondokana na dhana ya mfumo dume kwenye saikolojia za jamii.
Hata hivyo, unapokua kiongozi ni muhimu zaidi kuzingatia uwezo wa mtu kufanya kazi na sio jinsia yake.

Tz mawaziri wengi wa kiume, mbona sio Tatizo?πŸ’
Unakieelewa ulichokiandika hapa au umekurupushwa machakani na jani lako mkononi ukiwa unakunya?
 
Gentleman,
hizo ni dhana na nadharia zisizo na athari yoyote katika uhalali wa chaguzi za Tanzania, na katika kuandikisha record hiyo muhimu ya Dr Samia Suluhu Hassan duniani.

So,
relax tu na itapendeza zaidi πŸ’

Sawa. Yote yanawezekana. Itategemea ataamua kuchaguliwa kwa njia gani na ataendeshsje nchi kwa miaka mitano ijayo. Mpaka sasa record yake Kimataifa ina madoa madoa.
 
Gentleman,
dhambi zako haziwezi kua dhambi za waTanzania.
Kubebwa ufala ni Tatizo binafsi ambalo kabisaa halina athari ya jumla kwa jamii ya waTanzania.

Na kwahiyo basi,
Fikra na shuhuda binafsi za uoptoshaji ziwe fursa kwako Binafsi kua muaminifu zaidi kuelekea mbele kwenye record mpya ya kipekee sana ya Dr Samia Suluhu Hassan πŸ’
 
Kila kitu wabongo huwa tunakua wa kwanza duniani, hata kupora uchaguzi wote tuliweka record so itakua marudio tu, jiwe si alishinda 99% nani ana uwezo huo duniani??😎😎
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
1. Tanzania hakuna Demokrasia, na dunia yote inajua
2. Samia Suluhu alipata urais kwa kurithi baada ya JPM kufariki,
3. Hata hii awamu siyo ya 6 yeye na nyie wapambe mmelazimisha kuwa ya sita. Kiukweli ni awamu ya tano ambayo Samia anamalizia baada ya Rais kufariki.
4. Samia hajawahi kua PhD holder, ingawa niyie mnalazimisha, tuonyeshe hata hiyo paper aliyoandoka - Jarida. Inawezekana akawa mmoja Katika wale dikteta kama Idd Amin waliojipa veo vingi bila kua navyo. Huo udaktari ni heshima tu, tena ya bandia, hakuna alichofanya cha maana.
5. Mkitaka atambuliwe mwacheni mwenyewe mwaka huu agombee mwenyewe na aende kila sehemu aongee menyewe tumsike bila polisi kuwazuia Chadema, tuone.

Acheni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…