[emoji23][emoji23]Ndo ivyo mkuu, nilikuwa nawachora tu. Akileta ujuaji nampopoa kisha anani-ignore. Namtafuta kwa ID nyingine, tunacheka na kumsimanga ID yangu mwingine aliyempopoa mkuu. Ikiwezekana na mimi wa ID yenye huruma naungana na mkuu kumpopoa ID wangu mwingine. Maisha yanakwenda
ID ya kike ni kwa lengo la kuteka attention ya wana jf wengi pale ninapokuwa na muda wa ziada. Maake zinapata wachangiaji wengi pasi na kifani