Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Duh nimecheka 🙌Au ulituma nauli kwa I'd ya roselyn mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh nimecheka 🙌Au ulituma nauli kwa I'd ya roselyn mkuu?
Mbombo jilipo 🙌Kulikuwa na shidano la member bora Jukwaa la Sports. Ndipo mtaalamu GENTAMYCINE akaibua ID zake zote mafichoni. Akajipigia kura kisha akashinda
hakika wewe ni mgonjwa[emoji23][emoji23]Ndo ivyo mkuu, nilikuwa nawachora tu. Akileta ujuaji nampopoa kisha anani-ignore. Namtafuta kwa ID nyingine, tunacheka na kumsimanga ID yangu mwingine aliyempopoa mkuu. Ikiwezekana na mimi wa ID yenye huruma naungana na mkuu kumpopoa ID wangu mwingine. Maisha yanakwenda
ID ya kike ni kwa lengo la kuteka attention ya wana jf wengi pale ninapokuwa na muda wa ziada. Maake zinapata wachangiaji wengi pasi na kifani