Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Kuna moja linaitwa ChoiceVariable ni choko na Lina utoto,ulimbukeni na ujinga Zaid ya mtoa Uzi huu nazan Kuna haja ya kulitafuta ulifundishe kuwa liungwana,,liko na account kibao znatumika kuchonganusha linauwez wa kutmia GHARAMA kwenda mji fulan Ili likatafte kasoro na liaandika nyuzi yaan ni Zaid ya choko.

Account zake ni kama hizi baadhi nazifahamu ila anazo nyingi balaa

1;Choice variable
2;opportunity cost
3;sunk ze cost fallacy
Nk.


Jamaa anaandika Uzi hasa anaukabila na ushamba wa roho mbaya😀 anapenda kuandika nyuzi za Kanda na kuchonganusha anawaacha mnalumbana
 
[emoji23][emoji23]Ndo ivyo mkuu, nilikuwa nawachora tu. Akileta ujuaji nampopoa kisha anani-ignore. Namtafuta kwa ID nyingine, tunacheka na kumsimanga ID yangu mwingine aliyempopoa mkuu. Ikiwezekana na mimi wa ID yenye huruma naungana na mkuu kumpopoa ID wangu mwingine. Maisha yanakwenda

ID ya kike ni kwa lengo la kuteka attention ya wana jf wengi pale ninapokuwa na muda wa ziada. Maake zinapata wachangiaji wengi pasi na kifani
hakika wewe ni mgonjwa
 
La Ndio maana JF imebadilika sana ktk kipindi cha karibuni .Umakininumepungua ,kumbe mtu anaachonga habari Halafu anawaacha nyie mnanyukana..yeyeana wazoom!
 
Back
Top Bottom