Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Duh! Mbona umezungumza kwa masikitiko makubwa mkuu. Ulipasuka kwa PM ya roselyn2 nini[emoji23]
Wewe si ndo huyo unayemtaja mwenyewe? Kama nilishawahi kupm hiyo ID Roselyn2 nakuruhusu u screenshot na kuweka hapa. Sio wote tulio humu tunaajenda hizo mlizonazo. Inafikirisha mwanaume kuwa na ID ya kike ili nini?!
 
Jobless tu. Wenye majukumu hawezi huo utoto
Hapana mkuu, hii ilikuwa ni kama sehemu ya refreshment. Wakati mama watoto anaangalia movie za akina Rish, mimi nilikuwa naset mitambo kwa ajili ya mashambulizi. Muda huo wanangu wako kimya wakiamini kuwa baba anasaini mikataba online kama sio kurusha vipindi
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Wewe si ndo huyo unayemtaja mwenyewe? Kama nilishawahi kupm hiyo ID Roselyn2 nakuruhusu u screenshot na kuweka hapa. Sio wote tulio humu tunaajenda hizo mlizonazo. Inafikirisha mwanaume kuwa na ID ya kike ili nini?!
ID ya kike niliifanya kuwa mpenzi wangu niwapo online. Sio tu ninyi mliokuwa mnamPM roselyn2, hata mimi binafsi nilipozidiwa nilimPM pia, maake sio kwa huo upaja kwenye avatar yake[emoji23][emoji23]

Sorry mkuu, sijaona PM yako kwa huyo binti hewa. Nisamehe bure
 
  • Thanks
Reactions: 511
Hapana mkuu, hii ilikuwa ni kama sehemu ya refreshment. Wakati mama watoto anaangalia movie za akina Rish, mimi nilikuwa naset mitambo kwa ajili ya mashambulizi. Muda huo wanangu wako kimya wakiamini kuwa baba anasaini mikataba online kama sio kurusha vipindi
Umetisha sana mkuu hapo kusaini mikataba online😅😅
 
Back
Top Bottom