reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji4]Kulikuwa na shidano la member bora jukwaa la sports. Ndipo Gentramycin akaibua ID zote mafichoni. Akajipigia kura akashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji4]Kulikuwa na shidano la member bora jukwaa la sports. Ndipo Gentramycin akaibua ID zote mafichoni. Akajipigia kura akashinda
Nipo tena nimejaa tele....wewe ndio ulibezi sana na ID shirikiano mpaka ukapotea kabisaKumbe huwa upo! Ni muda mrefu sikuoni jukwaani
Jobless tu. Wenye majukumu hawezi huo utotoUlikuwa na muda wa kupoteza..
😬hilo neno "sio wote. Japo wamo wa kushanta" ina maana bado unajitekenya na kucheka tu wakati unatubu..!!
Ama kweli, ngoja tu tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini.
Wewe si ndo huyo unayemtaja mwenyewe? Kama nilishawahi kupm hiyo ID Roselyn2 nakuruhusu u screenshot na kuweka hapa. Sio wote tulio humu tunaajenda hizo mlizonazo. Inafikirisha mwanaume kuwa na ID ya kike ili nini?!Duh! Mbona umezungumza kwa masikitiko makubwa mkuu. Ulipasuka kwa PM ya roselyn2 nini[emoji23]
Vipi mkuu ulikuwa hujui au??Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]Hatari sanaNaona umekimbilia polisi
[emoji23][emoji23]Hapana mkuu, ninatubu tena kwa machozi. Kweli tena mkuu[emoji23][emoji23]Hta hii toba sina Imani nayo inawezekana hizo 96 zilizobaki zinasogeza huu uzi
Na iwe hvyo mkuu[emoji23][emoji23]Hapana mkuu, ninatubu tena kwa machozi. Kweli tena mkuu[emoji23][emoji23]
Na uzi usonge mbele[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, sema majukumu ya hapa na pale ya kutafuta mkate wa kila sikuNipo tena nimejaa tele....wewe ndio ulibezi sana na ID shirikiano mpaka ukapotea kabisa
Hapana mkuu, hii ilikuwa ni kama sehemu ya refreshment. Wakati mama watoto anaangalia movie za akina Rish, mimi nilikuwa naset mitambo kwa ajili ya mashambulizi. Muda huo wanangu wako kimya wakiamini kuwa baba anasaini mikataba online kama sio kurusha vipindiJobless tu. Wenye majukumu hawezi huo utoto
ID ya kike niliifanya kuwa mpenzi wangu niwapo online. Sio tu ninyi mliokuwa mnamPM roselyn2, hata mimi binafsi nilipozidiwa nilimPM pia, maake sio kwa huo upaja kwenye avatar yake[emoji23][emoji23]Wewe si ndo huyo unayemtaja mwenyewe? Kama nilishawahi kupm hiyo ID Roselyn2 nakuruhusu u screenshot na kuweka hapa. Sio wote tulio humu tunaajenda hizo mlizonazo. Inafikirisha mwanaume kuwa na ID ya kike ili nini?!
Ila inahitaji moyo sna kujigeuza mwanamke
Umetisha sana mkuu hapo kusaini mikataba online😅😅Hapana mkuu, hii ilikuwa ni kama sehemu ya refreshment. Wakati mama watoto anaangalia movie za akina Rish, mimi nilikuwa naset mitambo kwa ajili ya mashambulizi. Muda huo wanangu wako kimya wakiamini kuwa baba anasaini mikataba online kama sio kurusha vipindi
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikikutana na ID yangu kwa bahati mbaya, nafanya kuipopoaHizi ID zote zilicomment humu unaweza kuta ni za mtoa thread [emoji38]
Uzuri 2yeye tumeshamhakikiHili ni fundisho kubwa mno kwa wale tongoza tongoza😂😂.
Mara pap To yeye anakuja kukiri kuwa ni kidume kimoja kifupi na kakitambi kama Pierre Liquid😂😂😂😂😂😂😂😂😂 (jokes).
[emoji23][emoji23]Ni rahisi sana pale unapokuwa na stress au ukiwa nnzwi[emoji23] Utoto raha sana[emoji23]Ila inahitaji moyo sna kujigeuza mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23]Umetisha sana mkuu hapo kusaini mikataba online[emoji28][emoji28]