Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

Nitajie huyo mwanasiasa wa Tanzania amabe ana plan B huko ccm tuanzie hapo.
Point yangu ni kubwa mshukiwa angekuwa na plan B angejiuzulu Mara baada ya kifo cha mwenda zake. Lakini kwa sababu hana namna nyingine ya kuishi mijini akabaki, na akawa bado anatetea misimamo ya zama za mwendazake. Ona sasa anaibika mchana kweupe. Mwangalie Mizengo ponda yupo kimya anadeal na mashamba yake.
 
Africa hakuna ambae Huwa anajiuzulu.

Ona watu wanavyofurahia vyeo hapa 👇

View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1697176275075412394?t=_Unp69c3lSWa8G5r4u4T9A&s=19
 
Sawia!... Kitendo cha kumchagua kaimu "Waziri Mkuu" tena mwenye portfolio nyingine ni kiashiria tosha kuwa.... Hamkani!... Lakini si shwari tena. Yanayoendelea kiutawala kwa sasa hakuna tofauti na management za Simba na Yanga. [emoji24]
Naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani ya chi mh Augustino Mrema. Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati mh Biteko . Tuanzie hapo.
 
Yule mpaka supa blaki
 

Akijiuzulu atakuwa kajimaliza na atakuwaa amemumaliza spika asiyeona mbali....shimo limefika kiunoni yeye bado anashangaa sijui shule alienda kutoa kamasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…