Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.

Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Aachie haraka Doto akalie ,kwani nani ana shida nae?

Pili Rais asipotaka hawezi kuachia,akilazimishw atakuwa in trouble sana maana Rais ni Mungu mdogo hapa Tanzania.
 
Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.

Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Ajiuzulu tu 2025 achukue fomu..wakimzuia aende upinzani..alipo Kassim na sie tupo.

Hata kama wataiba kura ila ujumbe utakuwa umeenda. Ya Mungu mengi. Inaweza hata chama chenyewe 2025 kikafika vipande vipande.
 
Nakupa Siri Sasa mama enu Hana NGUVU watanganyika waliopo serikalini wanasubiri tu wakulianzisha, na Kwa taarifa Sasa MAJALIWA atachukua form 2025 na mama enu atarud paje zenji

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Hana hiyo jeuri wewe huyo PM wako,na Kwa taarifa Yako hakuna mjinga atakubali mtu ambae amekuwa PM eti awe Rais.

Kama ni form tuu hata Pinda,Malechela nk wote walichukua ila Rais akawa mwingine
 
Ajiuzulu tu 2025 achukue fomu..wakimzuia aende upinzani..alipo Kassim na sie tupo.

Hata kama wataiba kura ila ujumbe utakuwa umeenda. Ya Mungu mengi. Inaweza hata chama chenyewe 2025 kikafika vipande vipande.
Nyie mnajidanganya sana,mtu wenu huyo PM hakubaliki na wenzie.

Kwanza Doto na PM nani ni mtendaji mzuri?
 
Katelephone akiziunga upinzani wawe na ummoja wao wamsimamishe kama mgombea 2025 maza ataangushwa mbaya maana amechoka mbaya ndo maana anaanzisha wizara mpya baada ya bajeti ya mwaka wa fedha
Mdanganyeni tuu kama Lowasa sawa? Mwana ccm yupi wa kupigia kura Machadema Ili mwisho wa siku iwaje? Wawe wapenzi watazamaji au?

Naomba itokee hivyo nione.Rais atashindwa hata Kwa faulo na at any cost.
 
Umesha vuta zako ndumu hapo umejibanza Kwa baba room na Infinix Yako na bando la buku yanakutoka tu

Back
Top Bottom