Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna mnyukano mkubwa sana unaendelea ndani ya Serikali kuhusinana na dhamira ya Waarabu wa UAE ndani ya Tanzania. Wanachokifanya Loliondo la kuwatorosha wanyama imewakera sana wanajeshi. Tegeni masikio kama yatamwagika nje.Kadiri ya joto la kisiasa linavyo panda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.
Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov