Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

Sauti yake haina nguvu kuliko waraka wa kanisa

Alijisemea: " Raisi yupo anachapa kazi"

Nguvu ya ccm huonekana kwenye matukio kama haya.
Nakupa Siri Sasa mama enu Hana NGUVU watanganyika waliopo serikalini wanasubiri tu wakulianzisha, na Kwa taarifa Sasa MAJALIWA atachukua form 2025 na mama enu atarud paje zenji

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.

Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Sidhani
 
Sawia!... Kitendo cha kumchagua kaimu "Waziri Mkuu" tena mwenye portfolio nyingine ni kiashiria tosha kuwa.... Hamkani!... Lakini si shwari tena. Yanayoendelea kiutawala kwa sasa hakuna tofauti na management za Simba na Yanga. [emoji24]
Yaan hadi ajabu kwa kweli, khaaah
 
Kiranja lazima awe mkali kwenye kuwasimamia walio Chini yake.
Mama kachoka kuona kila siku wizi, ubadhirifu, kusuasua kwa miradi.
Doto nanda kaongeze nguvu ya ufuatiliaji lakini ukali na kuchukua hatua haraka kwa yeyote anaye yumbisha mambo
Sasa Dotto nae ana nn cha ajabu?? Hebu mtuache bhana wee.
 
Nakupa Siri Sasa mama enu Hana NGUVU watanganyika waliopo serikalini wanasubiri tu wakulianzisha, na Kwa taarifa Sasa MAJALIWA atachukua form 2025 na mama enu atarud paje zenji

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Wee unadanganyaa hapa, huijui vizuri nguvu ya Rais ktk nchi hii, muulize Ndugai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom