Hujafa hujaumbika: Huyu ndio yule Sulemani Bungara (Bwege)


Na ni takribani mwezi hivi ametoka mpoteza mke wake...
 
Kama watawala wanapitaga humu naomba waione hii wajue utawala wao wameupata kibahati bahati na muda wao utapita watapata saratani kila kona ya mwili wanajiona bora wanatunyanyasa wananchi sjui wanatuonaje ila watakufa kifo kibaya 😂😂😂

Sjapenda nilivyoandika ila lolote baya liwakute watawala wote wa ccm
 
Mbona Hana mguu mmoja ajali au sukari jaman
 
CCM wanahisi wataishi milele ndiyo maana wapo tayari kufanya chochote kulinda madaraka yao!
 
Serikali serikali serikali.

Tumia vyombo vyako vya ulinzi na usalama kulinda afya za raia wako.

Tunapokea junks kibao zinazodhuru maisha ya watu. Sukari ni ugonjwa pandikizi ili viwanda vya dawa vipate wateja
Sometimes tusitoe tu lawama bila kujiangalia sisi,

Watu hatufanyi mazoez
Kila siku tunakula chips za viazi vya mbeya na mafuta ya singida
Tunashushia na mbuzi choma za arusha/ Mbuzi katoliki wa pwani kg 1

Tunamalizia na Safari lager kubwa

Kisha tunakuwa mabonge, tunapata kisukari na magonjwa mengine ndio tuje tuilaumu serikali ? Na sio kwamba watu hawajui wanachofanya ni hatari, wanajua ila wanakaza shingo tu
 
Ndio... Nimeshafanya kazi nje ya nchi tena nchi za dunia ya kwanza... Najua standard ya Tanzania kwa sasa ukilinganisha na nchi nyingine. Sasa uliza swali
Daah kwa majibu haya mkuu Tanzania bado tupo kwenye kupunguza vifo vya Wazazi wanapojifungua wakati hizo Nchi za Dunia ya kwanza hilo swala halipo au ulikua Dunia ya kwanza Nchi gani maana tunaweza tukawa tunazungumza vitu tofauti kabisa hapa...Tanga iliundwa Tume mwanamke alifariki kwa kukosa laki moja na nusu ili ajifungue salama baadae akafariki leo hii unaleta story za Dunia ya kwanza ipi mkuu.
 
Vitu vinaingia kwenye mzunguko na vinalipiwa kodi kumbe ni mauti yetu.

Mzee, jaribu kutafakari mwananchi anajizuiaje na sumu za vyakula wakati all tools zipo serikalini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…