Hujafa hujaumbika: Huyu ndio yule Sulemani Bungara (Bwege)

...Nakumbuka kama alipata ajali jijini Dar gari likamlalia Mkono ikabidi ukatwe. Niko tayari kusahihishwa.

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Halafu unakuta mpumbavu anamtoa kafara mzazi ndugu mwanae ili apate mali ipitayo
 
Ok ahsante [emoji120] mkuu apo umefanya nikumbuke vyema mi nilikuwa nahisi huyu ndo yule mbunge wa mchinga
 
Sio wote bhana, CCM kuna watu wema pia.
 
Huyu ndiye aliyesema majimbo ya uchaguzi Zanzibar ni kama vijiji ukipuliza mluzi jimbo zima wanasikia.
Au nasema uongo ndugu zangu.
Hujachanganya madawa kweli? Aliyesema kwamba Zanzibar ukisimama darajani ukapuliza filimbi Zanzibar nzima wanakusanyika ni Ali Kessy mbunge wa Namanyere, Nkansi Rukwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…