theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Ukipita maeneo haya itabidi uni PM tuburudike kidogo mkuu....Sio zangu hizo.
Kumbuka offals sio supu mkuu....Acha hizo wewe hio supu 2000 nakunywa sehemu posh kuliko makumbusho
Hatari sanaKuna wali nyama maharage mchicha nilikuwa nakula mwananyala 1,500/- simalizi! Nilikuwa naongezea ndizi mbivu ya 150/-
Huwa sipiti huko. Especially asubuhi.Ukipita maeneo haya itabidi uni PM tuburudike kidogo mkuu....
Mimi asubuhi [ breakfast ) kuanzia 5000 mpaka 8000 inategemea siku hiyo nitakuwa na mzuka wa nini.....
Mchana ( super lunch ) ni 9000 tu za kitanzia....
Chakula cha usiku naenda kulia nyumbani....
Kwa hiyo gharama ya breakfast na lunch 20000 fedha taslimu za kitanzia huwa naacha mezani Boss.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mawazo shallow. Hujui kuna watu huwaambii kitu kwa supu ya utumbo? Mbona una mawazo ya kimaskini huku unajinasibu una hela za kuchezea...Kumbuka offals sio supu mkuu....
Supu mara nyingi tunaitoa kwenye muscles sio offals boss....
Hizo offals watu wanakula tu kutoka na maisha ila kwenye aina za supu hiyo huwa hatuiweki kabisa kama supu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Masaki pale kuna mahali nimekula, wali nyama, mchicha, maharage, bamia&nyanya chungu.. Unajaziwa sahani... Kwa buku jero tuBasi eneo na eneo.
Nilipo chakula cha bei rahisi elfu 2,500.
Kwa elfu 1,500 labda utapata matunda na maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela yangu ya kula siku 3 hiiSupu ya afya tu mkuu unakunywa roho inasuzika breakfast kuacha 8000 mezani kawaida tu hiyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unavyojua shemeji yako hakuwepo ni hivi majuzi tu ndio karudi kutoka safari....Mkuu vipi huwezi kuandaa menyu homu mfano muhogo wako wa kuchemsha na samaki wa nguvu pembeni unatia kwenye akiba yako fresh hyo vipi?
Kesho unabadili unachemsha suou ya kuku na chapati zako unabeba ikifika time unafungua tu unajisevia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mji mkubwa huu...Basi eneo na eneo.
Nilipo chakula cha bei rahisi elfu 2,500.
Kwa elfu 1,500 labda utapata matunda na maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio unataka watu waishi kwa bajeti hii...utafikiri unawasaidia kutafuta.
Nakula ugali, ndizi, tambi na makande pia.Utakuwa unakula wali mara moja kwa wiki. Andika na vingine unavyokula ndani ya hizo siku 60. Kilo tano siku 60 ni grams 83.3 kwa siku
Ooh mkuu ukitaka kula bata hasa andaa mwenyewe menyu rahisi mnoo...mfano tuKama unavyojua shemeji yako hakuwepo ni hivi majuzi tu ndio karudi kutoka safari....
So na imani by mwezi huu nitakuwa napata breakfast ya nguvu kabla sijaenda kazini boss...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee makande unapika mwenyewe?
Wali nyama, mchicha, maharage, bamia&nyanya chungu.. Unajaziwa sahani hadi unabakiza
Aiseee makande unapika mwenyewe
Wapi huko?Wali nyama, mchicha, maharage, bamia&nyanya chungu.. Unajaziwa sahani hadi unabakiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hiyo 20,000 ni 600,000 kwa mwezi. Mshahara wa watu wawili wanaofanya kazi customer care VodacomUkipita maeneo haya itabidi uni PM tuburudike kidogo mkuu....
Mimi asubuhi [ breakfast ) kuanzia 5000 mpaka 8000 inategemea siku hiyo nitakuwa na mzuka wa nini.....
Mchana ( super lunch ) ni 9000 tu za kitanzia....
Chakula cha usiku naenda kulia nyumbani....
Kwa hiyo gharama ya breakfast na lunch 20000 fedha taslimu za kitanzia huwa naacha mezani Boss.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mwili wa kawaida mkuu...Ooh mkuu ukitaka kula bata hasa andaa mwenyewe menyu rahisi mnoo...mfano tu
Uwe na samaki wako ndani ama supu ya kuku ama kuku wa kuchoma,then hapo mkuu unatafta vitafunwa kama viazi ama mihogo ya kuchemsha siku moja moja chapati.
Nakuambia mihogo ama viazi vina faida kubwa sana mkuu..
..vinginevyo kwa menyu zako wewe ni mnene tu ama uongo mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mpango ila menyu hizi muhimu sana mkuuNa mwili wa kawaida mkuu...
Jioni huwa nafanya mazoezi ya kunyoosha viungo na kuzunguka uwanja....
Sent using Jamii Forums mobile app