Hujaoa/Hujaolewa alafu unatumia Tsh 10,000 au zaidi kwa siku kwa ajili ya chakula tu! Ni anasa hizo

Kuingiza pesa mingi haimaanishi ndo uwe mlafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo singo hautakiwi kutumia zaidi ya 4000 kwa siku......mie natumia buku 3 kwa siku,ofisini kwangu na porini nikimaliza narudi kwa baiskeli home.
 
Asa elfu 5 kwa siku ..sijui lakin nilivokua A.level ndo ilikua bajet yangu ya siku.maisha ya shule mpk hom kwl ulcers zitakwama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…