Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Mtoto wa kiume unakula ili usife tu !!!
Shukrani mkuu,umejibu vyema na jinsi nilivyokabisa.
Mimi msosi ndo naupa first priority,ntakachokula Leo sili kesho;alafu ninachokipenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi una hela alafu unashindia mihogo na maji,duhh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]5k mbali sana
Watu tunakula mpakani mwa mchana na usiku saa 9/11
Baada ya hapo unatafta faulo unapiga ndefu.
2000 inatosha .
Pole sana dada
Safi sana mkuuKama upo singo hautakiwi kutumia zaidi ya 4000 kwa siku......mie natumia buku 3 kwa siku,ofisini kwangu na porini nikimaliza narudi kwa baiskeli home.
Elfu tano unakula chakula kizuri chenye balanced diet na virutubisho vyote zaidi ya mtu anaekula hata 10000Asa elfu 5 kwa siku ..sijui lakin nilivokua A.level ndo ilikua bajet yangu ya siku.maisha ya shule mpk hom kwl ulcers zitakwama?
HahahaMwanaume unaishi peke yako halafu unajipikia chakula cha mchana na jioni tena,huo ni umama
Nunua ugali dagaa buku jero, ni sawa na ugali samaki tuMkuu msosi tu mchana mfano nikasema fish wa ukweli na ugali labda au wali,hapo zaidi ya 10 inakatika,
What matters ni kuwa unakula chakula unachopenda,nasio kula ilimradi ushibe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima ale mgahawani, unaeza pika kwako ht km unaishi masakimtoa mada umaskini unakusumbua pata pesa then uje na haya maneno.
mtu na biashara zake kubwa anaishi masaki kweli aende kwa mgahawa wa chakula sahani buku jero...... kuna mambo mengi sana ya kuzingatia usalama na usafi + cheo na hadhi ya mtu.
chakula standard cha kawaida sana ni kuanzia buku 4+. umaskini ni tatizo kubwa sana katika jamii yaani naweza kuufananisha umaskini na kansa ya damu. Mungu nipe pesa nyingi zaidi nizitumie kuonesha ukuu wako natambua kuwa unauchukia sana umaskini ameeni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabisa mzeeMtoto wa kiume unakula ili usife tu !!!
Sio unakula ka unaishi mgahawani
Ulifanya la maana sana mkuu hongeraKuna kipindi last year nilikua natumia hadi 30,000/- kwa siku kila siku. Asubuhi supu mchemsho wa kuku au samaki mkubwa 8,000. Mchana natoka lunch na mchuchu kitimoto sio chini ya 15,000. Usiku napiga menu ya 8,000..
Hapo ni kwenye msosi tu sijasema nitupie mbili tatu yani najikuta karibia 50 inakata kwa siku kila siku.
Kuna siku nilikaa nikajiuliza nikajiona **** sana, nikaamua kubadilika na kufanya mambo ya msingi. Siku hizi nikitumia sana ni 6,000 kwa siku.
Asubuhi 2000
Mchana 2000
Usiku (mara chache) 2000
Siku yakutumia 4,000..asubuhi 2000 mchana 2000 hapo ni tukutane tena kesho asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ulipoambiwa ushindie mihogo na maji..Hivi una hela alafu unashindia mihogo na maji,duhh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiwa unaishi masaki, unaeza tumia buku 3 kwa sikuInategemeana anaingiza sh. Ngapi kwahiyo siku, sio matumizi elfu10 afu kipato elfu2, ila kama unatafuta minimum hata hiyo 5 ni kubwa sana kwa siku 2500 inatosha kabisa pia inategemeana na wapi unaishi factors nyingi sana so muhimu ni mtu tu kujipangia kutokana na anavyoona inafaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu,sawa huo ugali dagaa ntakula mchana.huwa always sirudii chakula kabisa for a day