Mfumo wa uchaguzi na uongozi hauendani na hali halisi ya Afrika. Tanzania inatakiwa tuwe makini sana sana tukiandika katiba mpya ili tusifanye makosa. Kenya walitakiwa waondoe mfumo wa kumpa mtu mmoja madaraka makubwa.
Ruto Hana usmart wowote, kabila ndilo limembeba.
Haya anataka 'vimnofu' tu, na ndicho Uhuru alimpatia. Sasa wewe endelea kufikiri 'vimnofu' katika namma uiwazayoRaila Hana njaa Kama unavyodhania. Kaangalie utajiri wake. Vimnofu Ruto anawapa rafiki zake akina Kidero na waruguru walioshindwa u haguzi.
Katiba mpya imewasaidia nini kupata chaguzi bila makelele kama haya?
Kwako wewe faida ya katiba mpya ni uchaguzi?hata kama Taifa litapata mgawanyiko mkubwa mradi uchaguzi uingize watu unao wataka basi katiba mpya ndo ina faida
Ila tuwajulishe majirani wetu kwamba hapa kwetu kumejaa hakuna mahali pa kukimbilia, hivyo acheni hizo fujo.
Mfumo wa uchaguzi na uongozi hauendani na hali halisi ya Afrika. Tanzania inatakiwa tuwe makini sana sana tukiandika katiba mpya ili tusifanye makosa. Kenya walitakiwa waondoe mfumo wa kumpa mtu mmoja madaraka makubwa.
Hata mimi nimejiuliza hilo swali, kuna la kujifunza hapaKatiba mpya imewasaidia nini kupata chaguzi bila makelele kama haya?
Winnie Odinga.Mtoto gani wa Raila yupo nje? ....
Kuteua mtu aliyeshindwa Ubunge au ugavana sio kosa hata kidogo, muhimu atadeliver kinachohitajika...Akiwapiga ndio SULUHISHO?. Mtu amaebakia kuteua rafiki zake walioshindwa ubunge, usenator na ugavana kuwa CAS baadla ya kudeal na matatizo ya ugumu wa Maisha.
Uhuru alimtenga makamu wake Rutto mpaka kufikia hatua ya kumkosoa hadharani huku akimkumbatia Raila.Hivi Makamu wa Rais yupo nje ya system, punguza uongo.
Kenya system yake tofauti sana na yetu kule kabila ndo kila kitu toka wapate uhuru wakikuyu na kalenjin ndo pekee wameshika madaraka pale na kinachowasaidia ni idadi yao kuanzia uraiani hadi vitengoRuto Hana baya ila huyu Mzee yeye ndiye alikuwa kwenye systeam ,anapaswa kutuambia alishindwaje na mtu aliye nje ya systeam? Hana jeshi na Hana polisi wote walikuwa kwa raila odinga! Kama aliwashinda bila msaada wowote wa Dola ndio mtamuweza akiwa na dollar?
Kwani kila aliepiga kura atakuwa tayari kuingia barabarani kuandamana?Hamna kitu Ruto atafanya maana Raila akiguswa tu nchi itawaka moto. Imagine katika kura million 14 wameachana kura laki 3 pekee meaning ni 50-50.
Kama alijiapisha kuwa Rais na hakufungwa Wala kupiga waandamanaji ndio sembuse sahivi?
Ukabila utawamaliza Kenya
Nairobi ni ya ODM na bunge la kaunti lipo chini Yao. Pia na makabila ya mrengo wa Odinga yaani akamba, luo, Luhya ni wengi pale Nairobi so maandamano yoyote Yale Ruto atazidiwa nguvu.Kwani kila aliepiga kura atakuwa tayari kuingia barabarani kuandamana?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana Lisu alioijaribu kuitisha maandamano ile 2020 mkajificha uvunguni mwa vitanda akaona bora arudi zake ubelgiji.Huyu mzee odinga mpumbavu anataka kuleta machafuko nchi isitawalike ruto piga hao wasiotaka kutulia majumbani mwao.
Amka kutoka usingizi ndugu mpendwa.Kwakweli Raila alimwambia ruto huwezi tawala hii nchi nikiwa hai, kuna uwezekano ruto akatolewa madarakani pengine jeshi likaongoza nchi ili wakose wote...... Raila... wangemuacha tu kwa 5yrs ya urais...ili azeeke vyema.