Huko Kenya moto si wa kitoto

Huko Kenya moto si wa kitoto

Mfumo wa uchaguzi na uongozi hauendani na hali halisi ya Afrika. Tanzania inatakiwa tuwe makini sana sana tukiandika katiba mpya ili tusifanye makosa. Kenya walitakiwa waondoe mfumo wa kumpa mtu mmoja madaraka makubwa.

Kwa Hali ilivyo Kenya suala la 50+1 liondolewe watumie mfumo wa USA Electoral College.
 
Raila Hana njaa Kama unavyodhania. Kaangalie utajiri wake. Vimnofu Ruto anawapa rafiki zake akina Kidero na waruguru walioshindwa u haguzi.
Haya anataka 'vimnofu' tu, na ndicho Uhuru alimpatia. Sasa wewe endelea kufikiri 'vimnofu' katika namma uiwazayo
 
Msifanze vurugu mkijua mtakuja tizii tuwapeni hifadhi..sisi wenyewe tukongi na matatizo yetu..huku mkinja hatakutakeni
 
Katiba mpya sio kwa ajili ya uchaguzi tu, hata kule US kwenye katiba bora zaidi duniani 2020 kulikuwepo na makelele baada ya uchaguzi.
Katiba mpya imewasaidia nini kupata chaguzi bila makelele kama haya?
 
Katiba mpya sio kwa ajili ya uchaguzi tu.
Kwako wewe faida ya katiba mpya ni uchaguzi?hata kama Taifa litapata mgawanyiko mkubwa mradi uchaguzi uingize watu unao wataka basi katiba mpya ndo ina faida
 
Africa tunahitaji serikali ya mseto, sio mshindi kuchukua kila kitu.
Mfumo wa uchaguzi na uongozi hauendani na hali halisi ya Afrika. Tanzania inatakiwa tuwe makini sana sana tukiandika katiba mpya ili tusifanye makosa. Kenya walitakiwa waondoe mfumo wa kumpa mtu mmoja madaraka makubwa.
 
Ruto hawezi mfanya chochote Raila, wewe unacheza na wajaruo wa Kenya. Wale jamaa ni washenzi sana na huwambii kitu kuhusu Raila yaani huyo akisema ni amesema.
 
Akiwapiga ndio SULUHISHO?. Mtu amaebakia kuteua rafiki zake walioshindwa ubunge, usenator na ugavana kuwa CAS baadla ya kudeal na matatizo ya ugumu wa Maisha.
Kuteua mtu aliyeshindwa Ubunge au ugavana sio kosa hata kidogo, muhimu atadeliver kinachohitajika...

Hayo ya ugumu wa maisha ni uchochoro anaotumia Raila kuzusha taharuki ili apate mkate kama aliopewa na Uhuru......hata yeye angekuwa Rais angekumbana na hizo changamoto tu maana ni za kidunia.
 
Ruto Hana baya ila huyu Mzee yeye ndiye alikuwa kwenye systeam ,anapaswa kutuambia alishindwaje na mtu aliye nje ya systeam? Hana jeshi na Hana polisi wote walikuwa kwa raila odinga! Kama aliwashinda bila msaada wowote wa Dola ndio mtamuweza akiwa na dollar?
Kenya system yake tofauti sana na yetu kule kabila ndo kila kitu toka wapate uhuru wakikuyu na kalenjin ndo pekee wameshika madaraka pale na kinachowasaidia ni idadi yao kuanzia uraiani hadi vitengo
 
Mleta Uzi lazima utakua msukuma ni ,atahitimisha au alihtimisha ,unaleta habari ya kesho inaitwa jana
 
Hamna kitu Ruto atafanya maana Raila akiguswa tu nchi itawaka moto. Imagine katika kura million 14 wameachana kura laki 3 pekee meaning ni 50-50.

Kama alijiapisha kuwa Rais na hakufungwa Wala kupiga waandamanaji ndio sembuse sahivi?

Ukabila utawamaliza Kenya
Kwani kila aliepiga kura atakuwa tayari kuingia barabarani kuandamana?
 
Kwani kila aliepiga kura atakuwa tayari kuingia barabarani kuandamana?
Nairobi ni ya ODM na bunge la kaunti lipo chini Yao. Pia na makabila ya mrengo wa Odinga yaani akamba, luo, Luhya ni wengi pale Nairobi so maandamano yoyote Yale Ruto atazidiwa nguvu.
 
Haya mambo ya odinga ndo bongo tulikuwa tunaaminishwa ni takwa la kikatiba na kuwa kenya inawezekana sababu wana katiba nzuri
 
Huyu mzee odinga mpumbavu anataka kuleta machafuko nchi isitawalike ruto piga hao wasiotaka kutulia majumbani mwao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana Lisu alioijaribu kuitisha maandamano ile 2020 mkajificha uvunguni mwa vitanda akaona bora arudi zake ubelgiji.

Sasa hapa unasema Ruto apige waandamanaji wanaopigania kushuka kwa bei za bidhaa ila ccm ikiwapiga machadema mnakasirtika!

Ndio maana hapa kwetu ccm inaweza ipandishe bidhaa muhimu kama chakula kwa 1000% ikaji feel comfortable tu kwa sababu inajua inaongoza mambuzi!
 
Kwakweli Raila alimwambia ruto huwezi tawala hii nchi nikiwa hai, kuna uwezekano ruto akatolewa madarakani pengine jeshi likaongoza nchi ili wakose wote...... Raila... wangemuacha tu kwa 5yrs ya urais...ili azeeke vyema.
Amka kutoka usingizi ndugu mpendwa.
 
Back
Top Bottom