econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mfumo wa uchaguzi na uongozi hauendani na hali halisi ya Afrika. Tanzania inatakiwa tuwe makini sana sana tukiandika katiba mpya ili tusifanye makosa. Kenya walitakiwa waondoe mfumo wa kumpa mtu mmoja madaraka makubwa.
Kwa Hali ilivyo Kenya suala la 50+1 liondolewe watumie mfumo wa USA Electoral College.