Huko ughaibuni ni kweli watu wanaishi kwenye magari kwasababu kodi ya pango ni kubwa

πŸ˜‚πŸ˜‚ Amka wewe utajikojolea.
 
Maisha huko ni magumu sana kwa sababu kodi za nyumba zipo juu sana kuna watu wanaishi kwenye maturubali au tent na serikali imeshindwa kufanya kitu
Mjini raha ila lazima upambane hasa
Kwa mfano Los Angeles California chumba kimoja au one bedroom ni $2,200
Kama mshahara unalingana na kodi utafanya nini
Watu wanalazimisha kuishi miji mikubwa kwa vipato vidogo
Angalia LA hii
 
duh! hatari sana wakati wa baridi si huwa wanapata tabu hawa
 
Mi nadhani inatokana na seasonal employment .Kwa mfano hasla anaweza kuwepo miami florida anauza labda ice cream kipindi cha summer kunapokuwa na high season ya watalii. Msimu ukiisha anarudi new york kwenda kusafisha na kukwangua theluji barabarani. Mtu wa aina hii mtafutaji ni ngumu kupanga chumba. Hivyo kulala kwenye gari ni must. Na magari ni yale yanakuwa na caravan.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Hamnaga Noah USA
 
Huko gari ni lazima kwa kila mtu hata mtoto. Hizo gari unazosema vibanda vinavyotembea, vina kila kitu kama kwenye nyumba, yaani jiko, choo/bafu, sebule na chumba cha kulala.
 
Inakuaje nyie niggaz mnafanikiwa na Kulala ndani then wazawa wanakuwa homeless?
 
Huko gari ni lazima kwa kila mtu hata mtoto. Hizo gari unazosema vibanda vinavyotembea, vina kila kitu kama kwenye nyumba, yaani jiko, choo/bafu, sebule na chumba cha kulala.
Zile gari ambazo ziko kama nyumba hata mimi nazihusudu sana😁 nadhani wanaziita "Camping Vans."

Ile nikiipata hata sijengi, nakuwa nalipaki Masaki tu nakula upepo wa Coco Beach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…