Huko ughaibuni ni kweli watu wanaishi kwenye magari kwasababu kodi ya pango ni kubwa

Zile gari ambazo ziko kama nyumba hata mimi nazihusudu sana😁 nadhani wanaziita "Camping Vans."

Ile nikiipata hata sijengi, nakuwa nalipaki Masaki tu nakula upepo wa Coco Beach
Mimi nitanunua container la 40 ft

Ila juu nitaezeka vizuri then ndo niweke container nitapata chumba , sebure jiko na choo haitozidi 10M
 
Inakuaje nyie niggaz mnafanikiwa na Kulala ndani then wazawa wanakuwa homeless?
Ngoja nikupe story moja kwanza
Kuna siku niliingia kwenye duka la Mhindi
Akaingia mzungu kununua chupa ya pombe huku akiwa amelewa na kuanza kongea pumba zao
Anasema we mhindi umepataje hela mpaka ukafungua duka kwenye nchi yangu na mimi sina?
Mhindi akamjibu in a polite way akasema nilipokuwa nafanya kazi ya mshahara nilikuwa nalimbikiza hela zangu wakati wewe ulikuwa unalewa tu na leo miaka yote hii nakujua bado unalewa tu

Mimi naishi London 3bed ni kuanzia £2200 mpaka 2700 kwa mwezi (6.6-8m kwa mwezi)
Kwa familia kuna nyumba za serikali ambazo bei ni chini zaidi na tunamudu
Wao ulevi Unga na anasa zaidi
 
Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!

Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
Bila shaka haupo ughaibuni sana sana upo mbagala rangi tatu sasa sijui hizo umezijuaje? Umezipata kwa Ebm? Au kwa huku yues?
 
Ngoja nikupe story moja kwanza
Kuna siku niliingia kwenye duka la Mhindi
Akaingia mzungu kununua chupa ya pombe huku akiwa amelewa na kuanza kongea pumba zao
Anasema we mhindi umepataje hela mpaka ukafungua duka kwenye nchi yangu na mimi sina?
Mhindi akamjibu in a polite way akasema nilipokuwa nafanya kazi ya mshahara nilikuwa nalimbikiza hela zangu wakati wewe ulikuwa unalewa tu na leo miaka yote hii nakujua bado unalewa tu

Mimi naishi London 3bed ni kuanzia £2200 mpaka 2700 kwa mwezi (6.6-8m kwa mwezi)
Kwa familia kuna nyumba za serikali ambazo bei ni chini zaidi na tunamudu
Wao ulevi Unga na anasa zaidi
Wewe upo kimara bonyokwa
 
Attachments

  • chai-bora-premium-tea-blend.jpg
    chai-bora-premium-tea-blend.jpg
    26.3 KB · Views: 2
Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!

Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
Kawaambie hivi, Marakani ni Marekani tu.
Halafu gari kuwa nalo ni muhimu na lazima sawa na kumiliki simu hasa kama kazi zako ni hizi za kusubiri notification zi popup, yaani kazi za kupitia agencies. Huwa zipo scattered kiasi ukitegemea public transport utachemka tu.
Ila huku Mapinga mambo ni mswano, Tegeta utatekkwa
 
Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!

Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
USA homeless ni wengi sana. Pia watumia madawa ya kulevya wanaishi mitaani. Ukiwaona unaweza kudhani ni mbojo, ile misukule inayominiwa na wanyaturu.
 
Gari kubwa kama Van unapata kwa USD 1000, nyumba ya chumba kimoja tu yani studio kodi USD 2400 kwa mwezi.
Ndio mana wanaamua kuishi kwenye magari. Ukishanunua gari yako hulipi tena kodi na hudaiwi
Mbona huwa naona kwenye mtandao ni kama Midwest states Kuna affordable homes for rent..i.e Missouri, Arkansas, Illinois n.k. Au ndiyo hakuna mishemishe za kupata pesa?
Unakuta two bedrooms USD 1000 kwa mwezi,au hapo Ipo vipi mkuu?
 
Huko kwa nyumba za bei hio ni Kama Lindi au Mbinga ya Marekani😁 hamna mtu anapenda kuishi Lindi Compared to Dar au Arusha za Marekani. Watu wanataka ishi New York, Atlanta, Florida au California ndio kwenye mishe.
 
Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!

Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
Vitu vidogo Sana hivyo, mfano ukifika bongo, ukaenda Dar, mass killings, Oyster Bay, unaweza ukwaamini bongo kuna ufukara wa kutisha, kama wa tandale na kawe!?
 
Zile gari ambazo ziko kama nyumba hata mimi nazihusudu sana😁 nadhani wanaziita "Camping Vans."

Ile nikiipata hata sijengi, nakuwa nalipaki Masaki tu nakula upepo wa Coco Beach
Ila leo mkuu umenichekesha sanaa 😂😂😂
Kambi popote sio, hapo umeweka dundo speaker la kuleta vibe usiku wa manane 😂😂😂
 
Back
Top Bottom