Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kumbe mnamjua majibu yake 😹🤣🤣🤣🤣🤣Halafu atasema sijui nini nini Fallacy...hamna atanielekeza vizuri hana baya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnamjua majibu yake 😹🤣🤣🤣🤣🤣Halafu atasema sijui nini nini Fallacy...hamna atanielekeza vizuri hana baya
Mkuu,Kwahiyo Kiranga Anaishi kama tumbili na kuruka ruka hatulii sehemu moja?
Hebu comrade njoo ututoe tongotongo
Inategemea ntu na ntu. Sidhani kama ni wote wako hivyo japo wako very sexy...Eti tunapenda sana 🍆 (inasemekana lakini)
🤣🤣🤣🤣unajua naweza kukuharibia kwenye moja na mbili?I respect ur respect 🙏We toka nijue kuwa ndiye dada mkubwa mwenyewe unayetoa password hakuna fallacy wala farasi 😂😂
Wewe umeelezea kiupana na umeeleweka....asante sana.....ila hapo kwenye dollars 1 kununua nyumba umenichanganya medulla umekosea au?Kuna watu wengine wana matatizo ya akili, wengine wana matatizo ya madawa ya kulevya, wengine wamefukuzwa kazi hawawezi kulipia nyumba, wanaishia kukaa kwenye magari. Ila si wengi kihivyo.
Na pia, hawa watu wengine wanakataa msaada, hawataki kukaa sehemu za kusaidiwa na serikali, nyingine zina changamoto lakini si zote. Kwa hivyo kuna masuala ya mtu kuamua kifalsafa hataki kusumbua wengine.
Maisha ya ughaibuni si lelemama, ukisikia mtu kasumama na famikia yake anaendesha maisha yake ujue si nchezo. Huku wakiweka kodi unalioa kodi sawasawa.
US is especially notorius, jealth care system yake ina matatizo sana, ukipata ugonjwa mkubwa unaweza kufilisika.
So yeah, hayo mambo yapo.
Lakini pia sehemu kama Marekani ina opportunities nyingi sana na unaweza kulala kwenye gari leo halafu ukapigana ukaitoa ukawa milionea, kwa hiyo kuwa homeless Marekani si sawa na kuwa homeless Mchafukoge.
Marekani hivi vikazi vya dola 10 mpaka 20 kwa saa huwezi kukosa. Na ukiwa na vikazi hivyo hata viwili huwezi kushindwa kulipia ki aoartment cha kiushkaji, depending on where you are kama si miji mikubwa kama New York City au San Francisco etc.
Wale ma homeless wengi wanakuwa mateja, wengine wagonjwa wa akiki na wachache watu waliokosa kazi ambao wanezoea miji yao hawataki kujiingeza kuhama.
Kuna sehemu Marekani huko Detroit na Indiana unanunua nyumba kwa $1 ukitaka.
Sasa hapo ukiwa homeless umependa mwenyewe tu kukaa mji wako ulioutaka.
Ni kama Bongo tu mtu anaweza kuwa honeless Dar lakini akienda Mlandizi tu au Kisarawe anaweza kuungaunga maisha akapata shamba akaendeleza mambo.
Tatizo ni kung'ang'ania sehemu wakati huna means za kutoboa sehemu hiyo.
Mwenyewe nimepita sehemu, nikaambiwa "Ngoja tumuulize dada mkubwa kwanza".🤣🤣🤣🤣unajua naweza kukuharibia kwenye moja na mbili?I respect ur respect 🙏
Kuna miji imepigika haina watu, ina nyumba zinaharibika, wanatafuta watu waje kukaa, kuzitengeneza hizo nyumba zisiharibike zaidi, na wapate walipa kodi.Wewe umeelezea kiupana na umeeleweka....asante sana.....ila hapo kwenye dollars 1 kununua nyumba umenichanganya medulla umekosea au?
Aiseee hii kali....kumbe kulala kwenye gari kupendaKuna miji imepigika haina watu, ina nyumba zinaharibika, wanatafuta watu waje kukaa, kuzitengeneza hizo nyumba zisiharibike zaidi, na wapate walipa kodi.
Kwa hivyo kuna sehemu nyumba walikuwa wanauza mpaka $1.
Ni kweli lakini sio miji kama New York au los angles hizo sehemu ni vijijini kwa bongo hapa ni kama handeni ndani ndani hukoAiseee hii kali....kumbe kulala kwenye gari kupenda
Wabongo nyoko. Unawatumia hela ukijua wanakufanyia kazi kama ulivyowaagiza. Kumbe wenzio wanazitafuna hela zakoJaribu kufanya hivyo kama hutolia mdomo wazi
Huko ughaibuni mbona nasikia Wabongo wengi kazi yao kuhudumia wazee na wenye utindio wa ubongo mshahara wake kwa Mwezi n kama 15m anashimdwaje kulipa kodi....huko maisha safi sana mshahara wa Mbunge huo kwa BongoWakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
Kuna fursa za ajira huko?Ni kweli lakini sio miji kama New York au los angles hizo sehemu ni vijijini kwa bongo hapa ni kama handeni ndani ndani huko
Karibu home pale kwenye lile gorofa....Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba!
Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba ama kununua nyumba!.. Huu ni uchumi wa namna gani.. naombeni ufafanuzi juu ya hili tafadhari
Umeeleweka mkuuHuko gari ni lazima kwa kila mtu hata mtoto. Hizo gari unazosema vibanda vinavyotembea, vina kila kitu kama kwenye nyumba, yaani jiko, choo/bafu, sebule na chumba cha kulala.View attachment 3172465
Ahsante sana mkuuDah umehaso sana pole mungu asikie kilio chako upate unapohitaji dah difficult situation
Chizi weweEndelea kuota 😃