Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela.
Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu mwenye trait za kimalaya ila unajipa muda.
Kama hujaoa, alichoongea dula makabila waweza kudhan ni uongo ila mimi ni mmoja wa wahanga, unaomba tunda unapewa bili au jambo fulani.
inauma na kufikirisha sana