Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe siku akiomba hela ya mezani sema vua chupi.Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela.
Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu mwenye trait za kimalaya ila unajipa muda.
Kama hujaoa, alichoongea dula makabila waweza kudhan ni uongo ila mimi ni mmoja wa wahanga, unaomba tunda unapewa bili au jambo fulani.
inauma na kufikirisha sana
Hakikasema mke wAko acha kugeneralize vitu vya kijinga
Location yako ya uuzaji NI ipi kitambaa cheupe ama river side?🤣Vitu vidogo sana hivo kuvichukulia namna hiyo
Unayouzia wewe si ndioLocation yako ya uuzaji NI ipi kitambaa cheupe ama river side?🤣
HeheheHaya kumekucha tena!!
Serikali ifutilie mbali mapenzi.
Uliwahi kuoa mkuu?Hilo n tatizo kubwa kwa karne hii mwingine atakukumbusha makosa yako yote pindi tu unapotaka unyumba...atataka umuamkie kwanza ili akupe kiujumla ndoa zimekuwa ndoano ful kulingishiana...kwasasa sina hamu na ndoa ndoa ni utumwa..nahamia kataa ndoa.
Oops!🥱Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa
Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela.