Huku kwenye ndoa wake zetu wanatuuzia penzi

Mim piah mbn mkuu nimekutwa na hivi vibwanga yani , fikiri nimekula tunda ananiambia nimemkula sana au muda naondoka nyumbn kurejea kazini nitamuongezea Hela niliwaza. Sana tenha sana
 
Wekeza kila kitu kwako iwe hisia, fedha , na mambo mengi usiwekeze kwa mtu mliyekutana ukubwani ukitegemea return ya upendo feki, ishi kwa kanuni kua mwanamke awepo kwenye maisha yako au asiwepo no Safi Tu, ukishindwa miliki wengi uwezavo ili akizingua mmoja kamata chombo nyingine , alikunyima wa ndani potea siku tano ukipata huduma kwa mwingine WA nje formula ni jijali wewe kabla ya kumjali mwingine, usipate Sonona kwa ngono ambayo ni ulaghai ambayo hauchikui zaidi ya dakika 10 , na unapewa majukumu ya milele usiwe simps play dirty games kwenye mapenzi
 
Au alijisahau kua ni mume wake akajua yuko na danga?
Namm nilihisi huko kua nikiwa mbali kuna mtu anamkatiaga miuno
 
Mim piah mbn mkuu nimekutwa na hivi vibwanga yani , fikiri nimekula tunda ananiambia nimemkula sana au muda naondoka nyumbn kurejea kazini nitamuongezea Hela niliwaza. Sana tenha sana
Hawana jema baadhi yao.Watu hawasemi tu wanaugulia ndani kwa ndani.
Kikubwa fanya venye akili yake imetaka.
Kuna pahala miaka hiyo niliambiwa naona umeamua kuwa na mwingine hunitaki tena..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaan ni mwanzo tyu sijaweka ndani alikua ananifanyia hivyoo kweli wanaume wanapitia magumu kilichosahihi nikuanza kufanya matendo
 
Yaan ni mwanzo tyu sijaweka ndani alikua ananifanyia hivyoo kweli wanaume wanapitia magumu kilichosahihi nikuanza kufanya matendo
Ya nini uteseke...ni utulivu na umakini.

Hakuna kitu inatesa b4 hukuwa na masharti yeyote yale..iwe jikoni..iwe wapi..eti ghafla yaanza masharti.Mkitaka kufanyana unawaza mara kumi kumi...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€masharti gunia...
 
nipo kwenye ndoa mwaka Wa 10 lakin chungu kama shubiri soon naivunja.
Mkuu usiivunje atataka mgawane mali. We cha kufanya mpige matukio hasa usimtom** kabisa achana naye apigwe na wengine akija stuka uko mbali sana na ni marufuku kurudiana naye. Mwanaume ulishamsamehe ulipomkuta Hana bikra hiyo ilitosha kabisa hatusamehi Mara mbili.
 
Ukiona mke wako adai pesa kutoka kwako kama mme tena wakati wa Tendo huyo asiitwe Mke aitwe jina lingine either malaya au kahaba

Hitaji la msingi la mke kwa mme wake ni FURAHA tu ili aweze kuactivate vyote ambavyo MUNGU ameweka NDANI yake i.e vyote MUNGU ameweka NDANI ya Mwanamke vinahitaji kuwa activated tu na FURAHA
 
Ulichoongea ni kweli kipo sana na tunaomba kweli hela Mkuu mt huna hisia si bora uombe hela ukanunue kiwig😞😎πŸ₯΄
 
Nakusabahi mkuu..umemalizaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…