Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
- Thread starter
- #141
HapanaMkuu nilijua umefunga ndoa na Binti wa kizungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaMkuu nilijua umefunga ndoa na Binti wa kizungu
Sawa ni senator wa wapi?Josh Hawley is not a mayor ni Senator from Missouri, na Ibrahim Onami ni mshikaji wangu youtuber yupo MN nimempigia simu kasema hajaenda kwenye harusi yeyote hivi karibuni, dogo nafikiri unadanganya
Utaua bendi mkuu
Aha hahaha[emoji16][emoji16]Hii ID ni ya yule mshkaji aliyefiwa na mkewe marekani. Niliandika reply nikiwa wa kwanza ikabidi niifute baada ya kugundua hili
Sio tu hivo hao pia ni watu wanne tofauti kabisaMbona koti ulilovaa ktk picha ya juu na chini tofauti Mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85]eti Missouri Lutheran church ,pumbaf . Missouri state ,unajua hata size yake ,utakuwa mizuri si MissouriKwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya mzee Kimambo pale Moshi mjini karibu na stendi kuu.
Ndoa yangu ilihudhuriwa na watu wachache sana kutokana na hofu ya ugonjwa wa korona.
Ndoa yangu ilihushuriwa pia na meya wa wa huu mji ninaoshi mie wa Missouri anayeutwa Josh Hawley, governor Mime Parson na attorney General Eric Shimitt na watu kemkem wa serikali ya state ya Missouri pamoja na waafrika wenzangu kama Ibrahim Onami wa minessora pia alikuja mr. Makulilo wa EBM.
Ndugu zangu nimeacha ubachela wewewe. Namshukuru mungu kwa hii hatua
Kesho tunaelekea Qatar kwa ajili ya ffungate na kuangalia mechi za world Cup angalia moja mbili tatu then we will came USA.
View attachment 2421169View attachment 2421171
Are u mentally sick?
Unadanganyika kirahisi ee!! Utakuja IBWA!!😂😂Kumekucha
Hivi kwanini wanaJF hatushindwi?🤣🤣
Nasubiri muongozo wa picha ya kwanza
Sasa si ndo maana anaonekana mzushi.Sema mleta mada hajasema kama picha alizoambatanisha na uzi ni yeye
Naunga mkonyo hojaWatu wanne tofauti hapo
Hongera sana .tuwakilishe vemaKwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya mzee Kimambo pale Moshi mjini karibu na stendi kuu.
Ndoa yangu ilihudhuriwa na watu wachache sana kutokana na hofu ya ugonjwa wa korona.
Ndoa yangu ilihushuriwa pia na meya wa wa huu mji ninaoshi mie wa Missouri anayeutwa Josh Hawley, governor Mime Parson na attorney General Eric Shimitt na watu kemkem wa serikali ya state ya Missouri pamoja na waafrika wenzangu kama Ibrahim Onami wa minessora pia alikuja mr. Makulilo wa EBM.
Ndugu zangu nimeacha ubachela wewewe. Namshukuru mungu kwa hii hatua
Kesho tunaelekea Qatar kwa ajili ya ffungate na kuangalia mechi za world Cup angalia moja mbili tatu then we will came USA.
View attachment 2421169View attachment 2421171
Si mwanamke mkuu ..amemtaja hapo AdelinaJinsia gani?
Lazima kuuliza maana dunia imechafuka siku hiziSi mwanamke mkuu ..amemtaja hapo Adelina