Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Kumbe Makulilo wa EBM aliachiwa na polisi wa TZ? Congrats ndg
 
It's all about composition and decomposition of your bond. Composition is when you manage to stay peacefully and happy without unusual conflicts and decomposition is when you take your challenges positively as a fertilizer, process them and apply them for the growth and stability of your bond.

Mmmmmh aiseee kuna watu mume dig deeply an 🤣🤣🤣🤝🤝🤜🤜 yaan wee na chemia mna bond tena ile hydrogen bond... Sasa unaitumia in real life
😂😂😂 Hapana mkuu, ni kaufafanuzi ka kihuni tu,
 
Kwema?

Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.

Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya mzee Kimambo pale Moshi mjini karibu na stendi kuu.

Ndoa yangu ilihudhuriwa na watu wachache sana kutokana na hofu ya ugonjwa wa korona.
Ndoa yangu ilihushuriwa pia na meya wa wa huu mji ninaoshi mie wa Missouri anayeutwa Josh Hawley, governor Mime Parson na attorney General Eric Shimitt na watu kemkem wa serikali ya state ya Missouri pamoja na waafrika wenzangu kama Ibrahim Onami wa minessora pia alikuja mr. Makulilo wa EBM.

Ndugu zangu nimeacha ubachela wewewe. Namshukuru mungu kwa hii hatua
Kesho tunaelekea Qatar kwa ajili ya ffungate na kuangalia mechi za world Cup angalia moja mbili tatu then we will came USA.
View attachment 2421169View attachment 2421171
Hongera mkuu,na kila la heri ktk maisha ya Ndoa naikawe yenye baraka tele
 
,🤣🤣🤣🤣 Wanaiga tuu... Ila ufafanuzi ule wenyew hawahujui..,
Wapo sawa mkuu, kwa mfano wanataka kufanya kolabo utasikia tumefanya na fulani kwa sababu chemistry(MUUNGANIKO) yetu ilikuwa vizuri ingawa hapo ametazamia kwenye composition. Akisema sijafanya na fulani sababu chemistry haikuwa vizuri, it's all about Decomposition so they're right..

Wa kujazia nyama ajazie, ingawa zimepanda bei😂
 
Back
Top Bottom