Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Wahenga walisema bora ukosee kujenga nyumba! Maana unaweza kubomoa na kujenga nyingine. Ila usikosee kuoa.

Siku zote ndoa hupimwa kupitia hiyo chemistry! Yaani mkiendana, basi mtafurahia sana maisha ya ndoa. Maana furaha, amani na upendo vitatawala ndani ya nyumba.

Ila msipoendana, aisee ndoa ni chungu kuliko hata shubiri.
Una experience na huo uchungu 🤣🤣😥
 
Hongera sana mkuu.Muishi Kwa upendo na Amani.kukoseana,kusameheana,na kuvumiliana vikawe msingi katika ndoa yenu.

Kuna mamtu zitakuja kuuzungumzia mkono wa hiyo picha ya chini
Umefanyeje mkuu
 
Hongera kwa kufunga ndoa. Ila ujitahidi kuondoa sasa kichwani mwako hiyo dhana ya kuoa mtoto wa kichaga! Mtoto msomi! Pisi kali! Mtoto wa kitajiri, nk.

Maana kinacho angaliwa kwenye maisha ya ndoa ni ile chemistry (maelewano/kuendana) kati yenu kwa zaidi ya 80%. Na wala siyo hivyo vigezo vingine. Ni ushauri lakini. Hivyo usije ukanielewa tofauti.
Ahsante noted
 
Kwa kweli hii elimu inahitajika zaidi ya elimu ya darasani maana vijana wanayumba kwa sababu hawajapata mwongozo sahihi

Hebu tukae kikao tujadili kwa upana maana hii idea ya ni ya kufingia mwaka kabisa
Wivu unawasumbia tu picha na ndoa yangu wapi na wapi? You take everything too seriuous? Kwanini hup userious wenu mkapeleke kutatua maji huko kwenu dare salaam
 
Back
Top Bottom