Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Hivi kwanini hua tunafanya hivi? Tunashindwa.kuridhika na maisha yetu ya kitanzania au maisha magumu au mental illness,
Screenshot_20221119-185606_1.jpg
 
Kwema?

Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.

Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya mzee Kimambo pale Moshi mjini karibu na stendi kuu.

Ndoa yangu ilihudhuriwa na watu wachache sana kutokana na hofu ya ugonjwa wa korona.
Ndoa yangu ilihushuriwa pia na meya wa wa huu mji ninaoshi mie wa Missouri anayeutwa Josh Hawley, governor Mime Parson na attorney General Eric Shimitt na watu kemkem wa serikali ya state ya Missouri pamoja na waafrika wenzangu kama Ibrahim Onami wa minessora pia alikuja mr. Makulilo wa EBM.

Ndugu zangu nimeacha ubachela wewewe. Namshukuru mungu kwa hii hatua
Kesho tunaelekea Qatar kwa ajili ya ffungate na kuangalia mechi za world Cup angalia moja mbili tatu then we will came USA.
View attachment 2421169View attachment 2421171
Ebwana eeh.....saundi zaidi.
 
Mkuu tupe mbinu nasisi beachboys na serengeti boys wa hapa posta tufike levo zako.
Kuna huyu mmasai ameokota dodo ananiinspire sana.
Kumbe inawezekana kuishi kwa kitonga cha kike manze
 
Kwema?

Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.

Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya mzee Kimambo pale Moshi mjini karibu na stendi kuu.

Ndoa yangu ilihudhuriwa na watu wachache sana kutokana na hofu ya ugonjwa wa korona.
Ndoa yangu ilihushuriwa pia na meya wa wa huu mji ninaoshi mie wa Missouri anayeutwa Josh Hawley, governor Mime Parson na attorney General Eric Shimitt na watu kemkem wa serikali ya state ya Missouri pamoja na waafrika wenzangu kama Ibrahim Onami wa minessora pia alikuja mr. Makulilo wa EBM.

Ndugu zangu nimeacha ubachela wewewe. Namshukuru mungu kwa hii hatua
Kesho tunaelekea Qatar kwa ajili ya ffungate na kuangalia mechi za world Cup angalia moja mbili tatu then we will came USA.
View attachment 2421169View attachment 2421171
Picha ya kwanza na ya pili mbona dressing ipo tofauti... wakati ni event moja ya kanisani...???
 
Back
Top Bottom