Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

Ndio mkuu
Ukizingatia hapa ni JamiiForums,nani atapenda kujipost?
Kweli kabisa watu wasicheke sana atatupia picha yuko bahamas honeymoon 😄
Oyaa joan twende mbele turudi nyuma nitumie code ya kesho wc
 
vile watu wa kamati ya roho mbaya wanavyojipa kazi ya kum-google "Adelina Jackson Kimambo".
giphy.gif
Are u mentally sick ?
 
Kwema?

Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.

Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya mzee Kimambo pale Moshi mjini karibu na stendi kuu.

Ndoa yangu ilihudhuriwa na watu wachache sana kutokana na hofu ya ugonjwa wa korona.
Ndoa yangu ilihushuriwa pia na meya wa wa huu mji ninaoshi mie wa Missouri anayeutwa Josh Hawley, governor Mime Parson na attorney General Eric Shimitt na watu kemkem wa serikali ya state ya Missouri pamoja na waafrika wenzangu kama Ibrahim Onami wa minessora pia alikuja mr. Makulilo wa EBM.

Ndugu zangu nimeacha ubachela wewewe. Namshukuru mungu kwa hii hatua
Kesho tunaelekea Qatar kwa ajili ya ffungate na kuangalia mechi za world Cup angalia moja mbili tatu then we will came USA.
View attachment 2421169View attachment 2421171
Hii ndio JF ninayeishi bongo inawezekana nikawa peke yangu wengine wote mliobaki makazi yenu ni manhattan na beverly hills[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kongole mno mkuu

Huwa nawacheck sana Ernest Makulilo na Ibrahim Onami kule pande za youtube jamaa nawakubali sana

Enjoy your honeymoon
 
Back
Top Bottom