Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's all about composition and decomposition of your bond. Composition is when you manage to stay peacefully and happy without unusual conflicts and decomposition is when you take your challenges positively as a fertilizer, process them and apply them for the growth and stability of your bond.
😂😂😂 Hapana mkuu, ni kaufafanuzi ka kihuni tu,Mmmmmh aiseee kuna watu mume dig deeply an 🤣🤣🤣🤝🤝🤜🤜 yaan wee na chemia mna bond tena ile hydrogen bond... Sasa unaitumia in real life
Hamna.. huu ufafanuzi awezi toa mtu ambaye yupo partially an..😂😂😂 Hapana mkuu, ni kaufafanuzi ka kihuni tu,
Unazngua mkuu 😂😂😂 sasa hapo kuna u-deep Gani wkt nimepitia kwenye definition tuHamna.. huu ufafanuzi awezi toa mtu ambaye yupo partially an..
Umechambua na kutoa really examples na relationship iliyopo hapo kiufupi unajua.mtu partial awezi fanya hvo bhanUnazngua mkuu 😂😂😂 sasa hapo kuna u-deep Gani wkt nimepitia kwenye definition tu
Anyway, may be because your Brain is Poor😂😂😂Umechambua na kutoa really examples na relationship iliyopo hapo kiufupi unajua.mtu partial awezi fanya hvo bhan
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ulitisha sana... Sema naskiaga sana wasanii wanatumia hili neno ""chemistry"" sa sijui wanajua kile wanachomanisha🤣🤣🤣Anyway, may be because your Brain is Poor😂😂😂
Just joking
Huwa wanamaanisha MUUNGANIKO nadhani.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ulitisha sana... Sema naskiaga sana wasanii wanatumia hili neno ""chemistry"" sa sijui wanajua kile wanachomanisha🤣🤣🤣
Huwa mnafutaje reply humu jf? Naomba kueleweshwa[emoji16][emoji16]Hii ID ni ya yule mshkaji aliyefiwa na mkewe marekani. Niliandika reply nikiwa wa kwanza ikabidi niifute baada ya kugundua hili
,🤣🤣🤣🤣 Wanaiga tuu... Ila ufafanuzi ule wenyew hawahujui..,Huwa wanamaanisha MUUNGANIKO nadhani.
i stand to be corrected
Hongera mkuu,na kila la heri ktk maisha ya Ndoa naikawe yenye baraka teleKwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya mzee Kimambo pale Moshi mjini karibu na stendi kuu.
Ndoa yangu ilihudhuriwa na watu wachache sana kutokana na hofu ya ugonjwa wa korona.
Ndoa yangu ilihushuriwa pia na meya wa wa huu mji ninaoshi mie wa Missouri anayeutwa Josh Hawley, governor Mime Parson na attorney General Eric Shimitt na watu kemkem wa serikali ya state ya Missouri pamoja na waafrika wenzangu kama Ibrahim Onami wa minessora pia alikuja mr. Makulilo wa EBM.
Ndugu zangu nimeacha ubachela wewewe. Namshukuru mungu kwa hii hatua
Kesho tunaelekea Qatar kwa ajili ya ffungate na kuangalia mechi za world Cup angalia moja mbili tatu then we will came USA.
View attachment 2421169View attachment 2421171
Una edit then unaiacha emptyHuwa mnafutaje reply humu jf? Naomba kueleweshwa
Pia kuna option ya kudeleteHuwa mnafutaje reply humu jf? Naomba kueleweshwa
Wapo sawa mkuu, kwa mfano wanataka kufanya kolabo utasikia tumefanya na fulani kwa sababu chemistry(MUUNGANIKO) yetu ilikuwa vizuri ingawa hapo ametazamia kwenye composition. Akisema sijafanya na fulani sababu chemistry haikuwa vizuri, it's all about Decomposition so they're right..,🤣🤣🤣🤣 Wanaiga tuu... Ila ufafanuzi ule wenyew hawahujui..,
Kama unatumia app, chini ya comment yako kuna maneno "Quote" na "Moderate". Bofya neno "Moderate" utaletewa maneno "Edit" na "Delete". Bofya "Delete", comment yako itapigiwa mistari kila neno na kutokomea kusikojulikanaHuwa mnafutaje reply humu jf? Naomba kueleweshwa
MFM??🤔🤔🤔Ongera sana mkuu, vipi naweza pata muhaliko wa kuja kushiriki furaha ya fungate pamoja nanyi
Utamwacha salama kweli bi harusi wetu? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ongera sana mkuu, vipi naweza pata muhaliko wa kuja kushiriki furaha ya fungate pamoja nanyi
Sawa mkuu, Mimi huingilia kwenye browserKama unatumia app, chini ya comment yako kuna maneno "Quote" na "Moderate". Bofya neno "Moderate" utaletewa maneno "Edit" na "Delete". Bofya "Delete", comment yako itapigiwa mistari kila neno na kutokomea kusikojulikana