Huku Mbweni hii mijengo ni ya Watanzania wenzetu?

Mkuu nilishasema ukiisha huu uchaguzi wa LG tukutane japo tupate Kahawa. 😃
niliona kuna fursa ya dk chache but anyway, appointment izingatiwe.

kwasasa nipo hapa kwetu pazuri tabata barakuda, kelele zimenichosha nadhani nimuhimu nikapumzike tu ..

nikijaaliwa kheri, alfajiri ninasafari kurejea jimboni.

pamoja sana gentleman na wadau wote JF 🐒
 
nikijaaliwa kheri, alfajiri ninasafari kurejea jimboni...!!! Takuja huko next week nine ishu ya Condensate may need your backup
 
Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.

Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?

Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa “Popote Ulaya tatizo Pesa”

Visit Mbweni
Ni mpangilio wa maisha tu....
Kuna jamaa ni caregiver mamtoni(anacheza na Mavi ya wazee)...ana jumba Mbweni...Mashallah Mashallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…