Huku mtaani kwa sasa hakuna mwanasiasa maarufu kuliko Makonda

Makonda ndiyo habari ya mjini. Ana akili sana Makonda
Siyo kweli kwamba makonda ana akili sana, bali wafuasi wake wengi wana akili kama yeye, hapa Tanzania std 7 wengi hawajui kuandika na kusoma vizuri na wana akili za maisha mitaani nyingi Sana. Ona graduates wanavyodhalilika mitaani kwa kujifunza kukaanga chips na bodaboda wakiwa watu wazima sana hawa hawampendi Makonda wala serikali.
 
Muulizeni Kubenea na GSM why walishindwa kupambana na Makonda
 
🀣🀣saivi hata kibaraka hazungumzwi tena ee alishasema yoteee....

Tulimwambie ebana uwe na kiasi unaongea sana bakiza mengine akakataa, saivv hana hoja 🀣
 
Naona ukiingia YouTube trending kwenye top 20 makonda video zimejaa yeye tu kawapiku Mpaka wasanii.
Mvuto huo sio wake bali ni mvuto ule aliokuwa nao Mwendazake !
Watu wanajiliwaza kwa kufikiri kama vile wanamuona Mwamba amerudi !
πŸ™πŸ™
 
Hivi unadhani uko sahihi
Hivi hujui kama kila goti litapigwa.......
Hivi hujui kwamba duniani hakuna haki
Hivi hujui kwamba Mungu atawalipia waliodhulumiwa
Hivi hujui kwamba Mungu ana adhabu kali saana.
Hivi alikwisha ungama
 
Makonda ana akili za kuzaliwa, ni mzalendo na mchapa kazi. Mungu ambariki sana Makonda wetu.
 
Makonda atumbuliwe Jukwaani na Maza uone Vigelegele vitakavyolipuka Kitaa, Watanzania wanapenda kuona aliyejuu anashushwa chini.

Mfano mwingine Maza akimfilisi Mo Dewji Jukwaani Popularity yake itapanda mara dufu.
Hao ndio WATANZANIA halisi.

Hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
Hivi unadhani uko sahihi
Hivi hujui kama kila goti litapigwa.......
Hivi hujui kwamba duniani hakuna haki
Hivi hujui kwamba Mungu atawalipia waliodhulumiwa
Hivi hujui kwamba Mungu ana adhabu kali saana.
Hivi alikwisha ungama

Unazungumzia wakati ujao mkuu.
Mimi nazungumzia wakati uliopo.
 
Wanafanya vizuri sababu wanakibomoa chama Chao Kwa kuifanya Serikali nzima ionekane Si kitu mbele ya Mwenezi.

Wananchi tunafurahia move hii kama tu itasababisha chama kuangukia pua 2025.
Ngoja tuone ! πŸ˜…πŸ™
 
Tatizo watanzania wanamuona Jpm kwa Makonda. Na sio uongo Jpm anawafuasi wengi sana
T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…