Huku mtaani kwa sasa hakuna mwanasiasa maarufu kuliko Makonda

Hata mimi nilitaka nimuulize makonda ni maarufu kwa jambo lipi
Tanzania standard zetu za mambo mengi zipo chini sana
Nakuomba uset standards kaka na uzitume hapa!! Maana hutaki kukubali tu kuwa jamaa ndo anatrend kuliko yeyote nchini!
 
Makonda ni kina kirefu nyumbu watazama
 
We Jamaa umejaa misifa ya kijinga sana...Unaboa
 
Kwa umaarufu ndio hoja
Kesi ya uhalifu ni ishu nyingine Mkuu.
Kwa nini hutaki kukubali ukweli maana ukweli wako mimi nimekubali
Umaarufu wa nini na je huo umaarufu umekua na manufaa gani kwa mwananchi wa kawaida anaye nunua sukari 4500, na kuendelea, umeme unaokatika mara kwa mara
 
Kafanya nini so far
Akisha trend what next
Kwa hiyo wewe unataka atrend Mbowe na CHADEMA yenu sio! Kuwa mpole roho mbaya na chuki ikichagizwa hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu!
 
Strong institutions zinajengwa na watu.

Ambacho kwa afrika watu hao hawapo.
 
Kumbe sukari zimepanda?

Kumbe hauna umeme?


Kwani Magufuli bado yuko hai?
 
Samia hakuwa mjinga kumleta Makonda
 
Labda mtaa wa makuwadi us dpworld.
 
Kumbe sukari zimepanda?

Kumbe hauna umeme?


Kwani Magufuli bado yuko hai?

Yaani dhalimu aendelee kuoza hadi mifupa. Kama Ili bei ya sukari ishuke na umeme uwepo ni lazima dhalimu awepo, basi acha visiwepo kabisa.
 
Hiyo ndio science ya uchaguzi ‘trust’ you are able to sort their problems. The trick is in how you package that message.

Anachofanya Makonda kwenye ziara yake inaweza isiwe mvuto kwa mtu mwenye middle income au mfanyabiashara mdogo ambae shida zake ni umeme wa uhakika, kodi, hasara za mafuriko, bima ya afya na mengineo. Huyu inabidi umetengezee message nyingine na kumwaminisha una uwezo kweli wa kuzitatua hizo shida ukipewa nafasi.

Vita mbinu sio porojo tu na kuongea vitu unavyodhani wewe mwanasiasa wananchi wanataka kusikia, la hasha ongea vitu ambavyo wao wanataka kusikia.

Uwezi ukawa kila siku unaponda symbol (Magufuli) ambayo wananchi wengi wanao hudhuria mikutano ya Makonda, hiyo symbol ina connotation ya haki kwenye macho yao (hata kama upendi ndio khali) tembeles huo upepo.

Siasa ni science sio hisia za mtu. Ndio maana watu wanafurika kwenye mikutano ya Makonda na kuchunia maandamano ya CDM hakuna trust anymore.
 
Umemsifia na kuvuka mipaka,utakuwa huna nia njema na Makonda.
 
Nimeona maandamano ya CHADEMA yakiwa na watu wengi tofauti na unavyoelezea hapa. Anyway, kama ni suala la janja ya kushinda uchaguzi, sawa ingawa inaonyesha ujinga mkubwa ulioenea kwenye jamii ya Watanzania kuchukuliwa na cheap propaganda za chama tawala.

Kwa upande mwingine tunajua CCM ipendwe, isipendwe lazima iingie madarakani kwa nafasi inazotaka. Na hawajawahi kukubali kuweka mazingira ya uchaguzi huru na wa haki hata wakati wa Magufuli - anayedaiwa kuwa kiongozi maarufu sana. So, why the desperate propaganda? Bado wanatumainia muujiza wa kupendwa na wananchi?

CHADEMA kumponda Magufuli si kitu cha kushangaza. Huyu ni Rais aliyeazimia kuua upinzani hasa CHADEMA literally, by any means katika kipindi chake. Uchaguzi wa 2019 na 2020 ni ushahidi tosha. Haiyumkiniki uchaguzi wa 2020 CHADEMA kupata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa! Na mengine mengi aliyowafanyia. Halafu unatarajia CHADEMA walione jina la Magufuli kuwa “kete muhimu ya uchaguzi” na kuliimbia mapambio? That would be insane for sure!
 
Kuna kaukweli kidogo hapo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…