MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Nenda tiktok au youtube search misso misondo , utamjua ,, Vizur tiktokHuyo DJ Miso ndio nani?
Huyo DJ Miso ndio nani?
Nini hiki nilichokiangalia 🤣🤣🤣🤣
Subiri tu utakuja kuwaelewa😅Nini hiki nilichokiangalia 🤣🤣🤣🤣
Misondo ndio takataka gani?Nenda tiktok au youtube search misso misondo , utamjua ,, Vizur tiktok
So funny 😂
Minyimbo ya kishamba sanaSubiri tu utakuja kuwaelewa[emoji28]
Hii ni kama Shinyanga vijijini. Kuna mtu anaitwa Nyanda madeleka , Kuna Nyanda madirisha!.Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji.
Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara.
Kwa huku Mtwara, msimamo wa vijana maarufu wenye ushawishi huko tofauti kidogo na Tanzania sehemu nyingine.
Kwa utafiti mdogo niliofanya top 5 yao iko hivi.
1.Dj Miso Misondo
2.Harmonize
3. Diamond
4. Ali Kiba
5. Marioo.
Unawaambia nini wana Mtwara?
Sawa sawa mtoto wa kishuaMinyimbo ya kishamba sana
Mimi Niko Mtwara na huyo misondo hata simjui...Aisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji.
Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara.
Kwa huku Mtwara, msimamo wa vijana maarufu wenye ushawishi huko tofauti kidogo na Tanzania sehemu nyingine.
Kwa utafiti mdogo niliofanya top 5 yao iko hivi.
1.Dj Miso Misondo
2.Harmonize
3. Diamond
4. Ali Kiba
5. Marioo.
Unawaambia nini wana Mtwara?
Nimewasikia sana hao wasanii,ni maarufu sana kule Sukumaland.Hii ni kama Shinyanga vijijini. Kuna mtu anaitwa Nyanda madeleka , Kuna Nyanda madirisha!.
Hao watu hata aje Chris brown hawez kusikilizwa mbele yao