Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Huyu alitakiwa awe mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashachukuliwa na MajizzoHuyu alitakiwa awe mjini
😂😂😂😂😂😂 upo kama mimi,tangu nione huu uzi,haijawahi pita siku sijakutana nae mitandaoni,Nilikuwa sijawahi kumsikia kabisaUjue umefanya bonge Moja la promo,mi sikua namjua mmejua kupitia hapa nimeenda nimeona Toka umzungumze ndo amepata sana airtime etii
Dah! Hao wote ndio wanaitwa misso misondo?
Nadhani misso missondo ni dj. Hao ndo wanacheza miziki yake. Sina uhakika lakiniDah! Hao wote ndio wanaitwa misso misondo?
Aaaaahaaaaa
OK asante kwa ufafanuzi mkuu.Nadhani misso missondo ni dj. Hao ndo wanacheza miziki yake. Sina uhakika lakini
Kwahiyo watu wa Ntwara ni watumiaji sana wa TikTok ndio maana wanamjua na kumpenda kuliko sehemu zengine za Tanzania sio? Maana mi niko Kanda ya Ziwa na sijui kwakweli. Basi sawa.Nenda tiktok au youtube search misso misondo , utamjua ,, Vizur tiktok