Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sawa kabisa. Mleta uzi afanye marekebisho hapo huu😀😀😀, Unyama sanaa. Hii thread Nashauri tuzungumze kuhusu missondo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa. Mleta uzi afanye marekebisho hapo huu😀😀😀, Unyama sanaa. Hii thread Nashauri tuzungumze kuhusu missondo tu.
Hii Vibe kama mchiriku, mpaka napata mzuka wa kucheza.....
manka nokesuko?
Sawa bibi 🤒🤒Minyimbo ya kishamba sana
Nokesuko ndo nini? Sijui kichaga mie😃manka nokesuko?
Wanaleta mzuka sana hawa majamaa, cheza yao sasa🙌Hii Vibe kama mchiriku, mpaka napata mzuka wa kucheza.....
sijui, wewe ndo uniambie, kuna siku nilisema kisewa ulinielewa ukacheka😂Nokesuko ndo nini? Sijui kichaga mie😃
😅😅Kichaga sikijui vizuri nabahatisha baadhi ya manenosijui, wewe ndo uniambie, kuna siku nilisema kisewa ulinielewa ukacheka😂
😂😂😂😂😂😂Tuache utani sipo mtwara,, ila ukimsikiliza dj anavopangilia nyimbo alitakiwa kuwepo mjini, ,,,,ivi dj wa mond anaweza kumfikia huyu dogo au ndo vile kusagiana kinguni
Unyama sana.. 🏳️🏳️🏳️🏳️🏳️Kula chuma hicho
View attachment 2822698
Alaa...Watu wa kusini Wana vibe sana,
Kwa Tanzania hapa hakuna wakuwafikia.
Huyo Miso Musonda ndo Nani ? Yaani mtu awe maarufu hata hajulikaniAisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji.
Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara.
Kwa huku Mtwara, msimamo wa vijana maarufu wenye ushawishi huko tofauti kidogo na Tanzania sehemu nyingine.
Kwa utafiti mdogo niliofanya top 5 yao iko hivi.
1.Dj Miso Misondo
2.Harmonize
3. Diamond
4. Ali Kiba
5. Marioo.
Unawaambia nini wana Mtwara?
Uchafu mtupu! Nilipe kiingilio kuangalia hawa pimbi??
Nini hiki nilichokiangalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umezamia huwezi lipwaUchafu mtupu! Nilipe kiingilio kuangalia hawa pimbi??
Halafu kuna Kuna the king Bhudagala Mwana Ngh'wana MalonjaHii ni kama Shinyanga vijijini. Kuna mtu anaitwa Nyanda madeleka , Kuna Nyanda madirisha!.
Hao watu hata aje Chris brown hawez kusikilizwa mbele yao