Sawa kabisa. Mleta uzi afanye marekebisho hapo huuπππ, Unyama sanaa. Hii thread Nashauri tuzungumze kuhusu missondo tu.
Hii Vibe kama mchiriku, mpaka napata mzuka wa kucheza.....
manka nokesuko?
Sawa bibi π€π€Minyimbo ya kishamba sana
Nokesuko ndo nini? Sijui kichaga mieπmanka nokesuko?
Wanaleta mzuka sana hawa majamaa, cheza yao sasaπHii Vibe kama mchiriku, mpaka napata mzuka wa kucheza.....
sijui, wewe ndo uniambie, kuna siku nilisema kisewa ulinielewa ukachekaπNokesuko ndo nini? Sijui kichaga mieπ
π π Kichaga sikijui vizuri nabahatisha baadhi ya manenosijui, wewe ndo uniambie, kuna siku nilisema kisewa ulinielewa ukachekaπ
ππππππTuache utani sipo mtwara,, ila ukimsikiliza dj anavopangilia nyimbo alitakiwa kuwepo mjini, ,,,,ivi dj wa mond anaweza kumfikia huyu dogo au ndo vile kusagiana kinguni
Unyama sana.. π³οΈπ³οΈπ³οΈπ³οΈπ³οΈKula chuma hicho
View attachment 2822698
Alaa...Watu wa kusini Wana vibe sana,
Kwa Tanzania hapa hakuna wakuwafikia.
Huyo Miso Musonda ndo Nani ? Yaani mtu awe maarufu hata hajulikaniAisee hii Tanzania ni kubwa sana, niko Mtwara linapokuja suala la burudani kwa mikoa ya Lindi na Mtwara hamna mtu aneyemfikia Dj Missondo kwa kusepa na kijiji.
Huyu jamaa akiwa sehemu anafanya yake hamna msanii yoyote atayethubutu kufanya show, maana itakuwa hasara.
Kwa huku Mtwara, msimamo wa vijana maarufu wenye ushawishi huko tofauti kidogo na Tanzania sehemu nyingine.
Kwa utafiti mdogo niliofanya top 5 yao iko hivi.
1.Dj Miso Misondo
2.Harmonize
3. Diamond
4. Ali Kiba
5. Marioo.
Unawaambia nini wana Mtwara?
Uchafu mtupu! Nilipe kiingilio kuangalia hawa pimbi??
Nini hiki nilichokiangalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umezamia huwezi lipwaUchafu mtupu! Nilipe kiingilio kuangalia hawa pimbi??
Halafu kuna Kuna the king Bhudagala Mwana Ngh'wana MalonjaHii ni kama Shinyanga vijijini. Kuna mtu anaitwa Nyanda madeleka , Kuna Nyanda madirisha!.
Hao watu hata aje Chris brown hawez kusikilizwa mbele yao